SMS za Kimahaba.

Kuna kademu kalikuwa hakati kutoa papuchi nikaona sasa ngoja nitumie uchaw wa Geneva nika mtigo pesa mawe then nikanyut kama siku mbili hv ya tatu naona msg

Mambo........Leo utakuwa na muda na shida ya kuongea na wew mana unaonekana mgumu lakin unajua kucare ...kilichofuata nilipandishwa ndege fasta..
Hii pia inawateka balaa
 
sijui why mademu wanapenda Sana hako kamsemo ka unajua kucare
 
Watu waliniambia ninaweza kufanya chochote kama tu nitaweka mawazo yangu juu ya hicho kitu. Lakini kila nikijitahidi unaipoteza akili yangu
 
Mapenzi mazuri yanasifa zifuatazo, kuridhishana, kupeana bila kubaniana, kubusiana, kusaheshimiana, kujaliana, kusubiriana, kusikilizana.Je, utaweza kujifanyia yote hayo? Nijibu mpenzi...
 
Mapenzi mazuri yanasifa zifuatazo, kuridhishana, kupeana bila kubaniana, kubusiana, kusaheshimiana, kujaliana, kusubiriana, kusikilizana.Je, utaweza kujifanyia yote hayo? Nijibu mpenzi...
Naam nitaweza mama nakuahidi kukupenda kwa dhati ya moyo wangu mpaka siku pumzi itakapousaliti mwili wangu, Warembo ni wengi ila kwangu mama ni wa kipekee uzuri wako ni wa kipekee na hakika mungu hakukosea kukuumba ulivyo chonde chonde mama usijibadili kwani nimekupenda jinsi ulivyo na nimeridhika nawe, Wewe kwangu ni zawadi ya pekee niliyopewa na mungu na niahidi nitakutunza na kukulinda siku zote za maisha yangu, nakuomba uisadiki kweli hii na unipokee moyoni mwako laazizi.
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom