SMS za Kimahaba.

ryana fan

JF-Expert Member
Apr 27, 2018
2,632
3,051
Habari wakuu naamini mmeshinda salama baada ya mizunguko ya siku. Basi nisiwachoshe Sana niende Moja kwa Moja kwenye mada husika.

Naomba mwenye sms za Kimahaba atupie hapa tuone anavyompa demu mstari. Hata wewe binti kama Kuna jamaa aliwahi kukutongonza naamini kabisa Bado unakumbuka hiyo mistari Basi leteni tushee kidogo .
Ahsanteni na karibuni. Naanza Kama ifuatayo.

"Mpenzi usiende mbali nami, njoo ufaidi utamu usioisha hamu, nitakupa mwili wangu ucheze nao hadi asubuhi, nitakulisha unachokitaka, sitakubania kwani naogopa wengine wanaweza kukupa... njoo leo uniambie unataka nini?"
 
Kuna kademu kalikuwa hakati kutoa papuchi nikaona sasa ngoja nitumie uchaw wa Geneva nika mtigo pesa mawe then nikanyut kama siku mbili hv ya tatu naona msg

Mambo........Leo utakuwa na muda na shida ya kuongea na wew mana unaonekana mgumu lakin unajua kucare ...kilichofuata nilipandishwa ndege fasta..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom