SMS za ITV kipima joto: ulishawahi kutuma sms kujibu ndio,hapana,sijui?

Mzingo

JF-Expert Member
Nov 2, 2014
4,460
9,671
Wakuu habari zenu. Kwanza mimi ni muangaliaji mwema wa ITV sana sana taarifa ya habari saa mbili usiku.

Kuna kile kipengele cha sms za kipima joto. Ni kweli kuwa kuna watu wanaojibugi lile swali kwa sms kabisa? Mf mtu anasema SIJUI. Mimi fikra zangu ni kuwa wanakadiriagA tu. Hebu tutoane tongotongo.
 
Back
Top Bottom