SMS kutoka namba 232. Je nakuwa hacked au nini kinaendelea?

Wewemwenyewe

JF-Expert Member
Nov 23, 2018
282
309
Habari wakuu.
Nina karibia week now napata SMS kutoka namba 232 kama inabyojieleza katika picha hapo. Natumia mtandao wa Airtel. Nimeclear call forwarding na maengineyo kupitia ##002# lakini bado napata sms. Nikifungua link inagoma. Na ninatumia Iphone. Je nini hiki wakuu kinaendelea katika simu yangu? I’m worried nakuwa hacked.
Msaada nipate kuelewa wakuu.

Thanks

Adjustments.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nan anahuo mda wa kukuhack mkuu?? Hizo level bado hujafikia jikite kutafuta pesa kwanza brooo!!

@YoungJigger

Ni Sawa mkuu uyasemayo
But what does this sms keep coming often after receiving calls?

I just want to know that

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Habari wakuu.
Nina karibia week now napata SMS kutoka namba 232 kama inabyojieleza katika picha hapo. Natumia mtandao wa Airtel. Nimeclear call forwarding na maengineyo kupitia ##002# lakini bado napata sms. Nikifungua link inagoma. Na ninatumia Iphone. Je nini hiki wakuu kinaendelea katika simu yangu? I’m worried nakuwa hacked.
Msaada nipate kuelewa wakuu.

Thanks

View attachment 1380103

Sent from my iPhone using JamiiForums
Unapoibonyeza iyk link ndipo unapoenda chaka mzee utapigwa
 
Habari wakuu.
Nina karibia week now napata SMS kutoka namba 232 kama inabyojieleza katika picha hapo. Natumia mtandao wa Airtel. Nimeclear call forwarding na maengineyo kupitia ##002# lakini bado napata sms. Nikifungua link inagoma. Na ninatumia Iphone. Je nini hiki wakuu kinaendelea katika simu yangu? I’m worried nakuwa hacked.
Msaada nipate kuelewa wakuu.

Thanks

View attachment 1380103

Sent from my iPhone using JamiiForums

Hata mm nimetumiwa saana hizi msg jana,ya kwanza ilipoingia nika click hiyo link lkn ilipogoma kufunguka nikapata wazo kua naanza kusikilizwa au kuhakiwa nikazima data na simu kama masaa mawili hv,nilipo washa zikaingia kama nne hv nikawa na futa tu ila sikuwasha data mpk leo.

Ila hiyo namba ni ya airtel tulikua tunatumia miaka ile kuhamishiana salio!
 
Back
Top Bottom