Sms kutoka airtel

Mwalimu

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
1,581
1,069
Mimi ni mteja wa VODACOM ghafla nimepokea hii msg kutoka AIRTEL
"Sherehekea Uhuru na AIRTEL! Ongea kwa ROBO SH Airtel kwenda Airtel kuanzia mwanzo wa mazungumzo saa 5 usiku hadi saa 12 asubihi huhitaji kujiunga, hakuna masharti"

Hivi wamepata wapi namba yangu in the first place wakati mimi sio mteja wao??
 
Biashara huria kaka,kila 1 anatafta namna yakuongeza wateja,labda wanakushawishi uingie airtel kwa mbinu hiyo.
 
Jamani, ww si ulisajili simu yako, na ile orodha ni mali halali ya TCRA...Sasa makampuni kama airtel wanaweza kufanya mawasiliano na TCRA wakapitisha matangazo yao kwa namba zote za kwenye hiyo database yao.
Ni rahisi tu...Ndio maana ya utandawazi...Mnadhani CCM ya Ridhiwani waliwezaje kuleta sms za CHANGIA CCM?
 
Mie hawanipati, nime-bar sms na call zote ambazo sijasevu kwenye phonebook, ila zinakera mkuu!!
 
Jamani, ww si ulisajili simu yako, na ile orodha ni mali halali ya TCRA...Sasa makampuni kama airtel wanaweza kufanya mawasiliano na TCRA wakapitisha matangazo yao kwa namba zote za kwenye hiyo database yao.
Ni rahisi tu...Ndio maana ya utandawazi...Mnadhani CCM ya Ridhiwani waliwezaje kuleta sms za CHANGIA CCM?

Duh! kwa mtaji huu tumekwisha...
 
mimi siono tatizo lolote walete tu hayo matangazo yao kama huduma zao zikiwa reasonable nitawaunga mkono na kuachana na wale wanaojifanya kututoza hadi gharama za huduma kwa mteja na zile za kuhamisha salio. Come on Airtel am also waitiing to receive that message.
 
Back
Top Bottom