Smartphones zinatesa mno upande wa betri.Tunafanyiwa maksudi kabisa

Mdakuzi mkuu

JF-Expert Member
Dec 27, 2016
212
719
Ni swali gumu la lenye ukakasi mkubwa sana.

Wanawezaje kuzindua simu matoleo mapya kila siku ile hali betri zinawashinda? Hapa kuna kitu, na kikubwa ni makusudi makubwa ya kujenga soko la power banks.

Utakuta mtu amenunua Samsung Galaxy nzuri kabisa ya TZS 1.5 Mil, lakini kila mara anacharge simu yake either kwenye umeme wa kawaida au power bank. Sasa hivi ukiplan kununua smartphone nzuri, weka na bajeti ya kununua power bank.

Mbona betri n kazi ndogo sana ukilinganisha na utengenezwaji wa simu yenyewe?

Unakula ng'ombe mzima unashindwa kumalizia kamkia wajameni?

Karibuni michango mubashara.
 
More processor power, HD display
Leads to more battery drainage.
Kama gari vile ikiwa na engine yenye nguvu sana inakula wese zaidi...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom