Smartphone za bei rahisi unazoweza kununua

Huu Uzi naona umetelekezwa tangu watu wazijue xiaomi na kuamia kule mazima!!

Swali linakuja je hakuna simu nyingine za bei rahisi zenye ubora zaidi ya xiaomi au ndio kasumba ile ile ya kung'ania jina?

Sitopenda kuvamia anga zao maana najua majibu yatakuja kiushabiki zaidi.

Chief-Mkwawa naomba udadavue zipi kati ya hizi ni simu ipi yenye ubora zaidi ya nyingine?

1.xiaomi redmi note 7(siyo note 7pro)

2.Lenovo s5 pro

3.Nokia X6
 
Wakati tukiwasubiri mafundi waje: Samsung nazipenda lakini tatizo kubwa Battery hazitunzi chaji
 
Kwa hizo tatu redmi note 7 ni nzuri upande wa soc yenyewe ina sd660 compare na sd636 ya hizo mbili. Sema utofauti huo wa soc sio mkubwa sana kwa average consumer, sababu soc zote mbili zina core kubwa na ndogo.

Soc ikiwa nzuri inamaana vitu kama gpu, cpu, bluetooth, wifi, modem za internet etc navyo vinakuwa vizuri.

Vitu vyengine kama ram na storage vinafanana na camera si rahisi kuziangalia juu juu inabidi utulie sana
 
Tatizo hamjui kuchagua, kama priority yako ni kukaa na chaji tafuta samsung inayokaa na chaji, huwezi ukaenda dukani ukanunua samsung randomly kisha ukawasingizia samsung simu zao hazikani na chaji.

Hebu itafute Galaxy M20 utumie uone kama haika na chaji. Au A20, A7 2017, s8 Active etc
 
Kwa hizo tatu redmi note 7 ni nzuri upande wa soc yenyewe ina sd660 compare na sd636 ya hizo mbili. Sema utofauti huo wa soc sio mkubwa sana kwa average consumer, sababu soc zote mbili zina core kubwa na ndogo.

Soc ikiwa nzuri inamaana vitu kama gpu, cpu, bluetooth, wifi, modem za internet etc navyo vinakuwa vizuri.

Vitu vyengine kama ram na storage vinafanana na camera si rahisi kuziangalia juu juu inabidi utulie sana
redmi note 7 yenye snapdragon 660 na 660AIE zina utofauti gani?
 
Artifical inteligence Engine ndio kirefu cha AIE hivyo ni version ya hio soc ambayo wameinclude chip inayohandle hio AI.
Mkuu vp, nishauri nna Samsung galaxy A50, kioo cha nje kimepasuka. Inafanya kazi vzr. Vipi nikibadili haitoleta shida???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom