SmartDuka Pro Software: Simamia Biashara Yako / Fuatilia Stock, Mauzo, Matumizi na Faida / Epuka Udanganyifu

Badala ya kutumia madfar au makaratasi katika kutunza records / kumbukumbu zako za biashara na kimahesabu ambapo muda mwingine yanaweza kupotea.

SmartDuka Pro ikusaidia kutunza record Kidigitali zaidi.

Pia unaweza kuona mauzo, matumiz na faida katika biashara yako kupitia mfumo wetu huu.
 
Mauzo ya bidhaa.

"Uza, Kopesha bidhaa kwa msaada wa SmartDuka Pro"

SmartDuka Pro inahifadhi kumbukumbu za mauzo yako yote na kukukokotolea bei kulingana na idadi ya bidhaa unazo uza/ faida, hasara na ukitaka itakuambia chenchi ya kumrudishia mteja.
 
Mfumo wetu huu unauwezo wa kufuatilia na kurecord Mauzo, Faida Hasara, Kodi, Mfumo wa Mauzo yani POS, Unasupport mfumo wa Barcode nanyingine nyingi, inauwezo wa kutambua Stocks ya bidhaa zilizopo pia. Mfumo huu unakusaidia kuendesha Duka lako hata uwapo mbali nalo nakuzuia udanganyifu.
 
Boresha biashara yako sasa kwa kukusanya taarifa sahihi za mauzo ya kila kitu ulichonunua kwa ajili ya Biashara yako.

Angalia Stoo ya bidhaa na kinachobaki, kinachouzwa na kinachopendwa zaidi na wateja wako ili kuepeka kununua bidhaa zisizopendwa zaidi kwa idadi kubwa
 
Je unapata tabu kujua ni bidhaa gani zimeisha au zimekaribia kuisha? Na unapata wakati mgumu kujua mzunguko wa bidhaa yako? SmartDuka Pro inauwezo wakukupa taarifa pale bidhaa inapokaribia kuisha na ikiisha pia inaonesha utokaji wa bidhaa kwa mwaka mzima mfano: kuanzia January mpaka December.
 
Tunaendelea kuboresha mfumo wetu wa SmartDuka Pro kwa sasa Unapatikana katika Mfumo wa Web base System, Desktop Application (Computer) pamoja na Android App. Endesha Biashara yako kisasa zaidi.
 
SALES / EXPENSES

Mfumo utakusaidia kufanya mauzo kwa kutumia barcode scanner na pia kutoa risiti.
 
Kwa utunzaji na uifadhi wa mali zako kirahisi na usalama epuka udanganyifu kwenye biashara yako. Inamanage Stocks, Mauzo, Mapato, Matumizi pamoja na Faida.
 
Habari, Tunapenda kuwajulisha tumeboresha zaidi mfumo wetu wa SmartDuka Pro. Endelea kufurahia huduma zetu.
 
Mfumo unafanya kazi kwenye PC / Computer,Tablet na Simu. Kwa Gharama ya TSh 180,000 Kwa Mwaka Mzima.

NOTE: Gharama ya Ofa ya Tsh 72,000/= imekwisha muda wake kwa sasa haipatikani.
 
SmartDuka Pro unakuza na kuleta faida.

Mfumo utakusaidia kuhamisha stock sehemu moja kwenda nyingine . Mfumo utakusaidia kujua mauzo ya siku, wiki, mwezi na mwaka. Mfumo utakusaidia kuprint barcode kwa ajili ya bidhaa zako. Mfumo unatoa risiti za mauzo.
 
SmartDuka Pro: Get Everything you need confidently to run your business.
 
"Uza, Kopesha bidhaa kwa msaada wa SmartDuka Pro"

SmartDuka Pro inahifadhi kumbukumbu za mauzo yako yote na kukukokotolea bei kulingana na idadi ya bidhaa unazo uza/ faida, hasara na ukitaka itakuambia chenchi ya kumrudishia mteja.
 
Je unapata tabu kujua ni bidhaa gani zimeisha au zimekaribia kuisha? Na unapata wakati mgumu kujua mzunguko wa bidhaa yako? SmartDuka Pro inauwezo wakukupa taarifa pale bidhaa inapokaribia kuisha na ikiisha pia inaonesha utokaji wa bidhaa kwa mwaka mzima mfano: kuanzia January mpaka December.
 
SALES / EXPENSES

Mfumo utakusaidia kufanya mauzo kwa kutumia barcode scanner na pia kutoa risiti.
 
Ongoza biashara yako popote ulipo duniani.

Je, upo nyumbani, hotelini, shambani unakaguamazao yako au upo safarini kwenda kumsalimia bibi kijijini? SmartDuka Pro itakuambia nini kinaendelea dukani kwako, bidhaa gani inakaribia kuharibika (expire) etc.

Unachotakiwa ni kuwa na kompyuta/Laptop au Simu iliyounganishwa na intaneti.
 
Pata Mfumo Wa Kijanja

utakaokusaidia kufahamu stock yako,mauzo na matumizi yaliyofanyika. Mfumo unaweza kutumia kwenye simu na kompyuta.
 
Back
Top Bottom