SMART wameondoa Unlimited package yao sasa ni 100GB kwa mwezi.

Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,495
2,251
SMART ambao walikuwa na package ya Unlimited kwa TSH 75,000 kwa mwezi sasa wameongezea lugha ya kibiashara kuwa hiyo "Unlimited" ina kikomo cha 100GB kwa mwezi. Hakuna pa kukimbilia!!
26815404_1976507205905168_870382433354232223_n.png
 
Duh mbona balaah iv skuiz kuna mtandao cheap kwel[/QU

Amna mtandao cheap ila Kama unataka kidogo uwe na AHUENI jitaftie Laini ya CHUO ila kusajili laini kawaida kama mtu wa kawaida..hakika kila siku utashka kichwa..Jifanye tu mwanafunzi huna Jinsi.
 
Back
Top Bottom