Smart phones nyumba za ibada, no please!

Yeah sahihi kabisa lakini vipi kuhusu password!?

Jr
Vipi unasemaje mtu asipobeba smartphone yenye hiyo downloaded bible na badala yake akabeba bible halisi (kitabu) kwa kutumia mikono yake ambayo amekuwa akiitumia kumwaga damu, kufanyia wizi, ujambazi, wizi wa kalamu, bahili, ufanyia uzinzi na kadhalika? Maana tusijifanye kupinga au kushindana na technology wakati hata hiyo bible kitabu ni matokeo ya technology.
 
Bado ni yale yale japo hayana neno la siri

Jr
 
Daah eti nayeye ameji-record kabisa kama Amateur ....ama kweli mjini kila mtu baby uzee mwisho chalinze ...

Mara nyingi ndio inavyo kuwaga ..ukitafuta pesa kwa maagano na shetani " inapotokea ukavunja masharti lazima mwisho wako uwe mbaya tu
 
Kuna wakati akili huhama
 
Back
Top Bottom