Smart phones nyumba za ibada, no please!

Kuna yule jamaa anaitwa Zurri ngoja aione hii post hamtoelewana kabisa
Tupo kwa ajili ya kutafuta ukweli uliofichika, bila dhihaka, bila kejeli bila dharau, nje na juu ya tongotongo za kiimani na ibada tusizozijua vema... Akili kubwa zaidi ya kuingia kwenye nyumba zetu za ibada na kukariri mapokeo... Waislam na wakristo ni wahanga kwenye hili

Jr
 
Hili mimi nililishuhudia Masjid Ghadafi mjini DODOMA ilikuwa ibada ya EID baada ya kumaliza mfungo wa ramadhan. Takbiir zinaendelea huku backbencher jamaa wako bize na Facebook na zaidi wakaenda mbali kupiga selfie ilinistaajabisha sana hii mkuu. System imeshatutoa katika uhalisia wetu zaidi tunaishi vile system inataka.
 
sijaona kosa lolote kwa huyo ustadh kutumia version ya kidigital ya msahafu wake.Huwezi kubishana na mabadikiko ya teknolojia,mbona maandiko zamani yalikuwa yameandikwa kwenye magome ya miti na baada ya uvumbuzi wa karatasi hatuyaoni hayo magome ya miti tena makanisani kwetu
 
Hakuna nilipomlaumu

Jr
 
Itabidi pawe na mitaa ya wachaMungu, Mabasi ya wachamungu,Shule na vyuo vya wachamungu mana kuchanganyika utakua sawa na kitabu cha dini kilichochanganyika na video za kidunia ndani ya Siku.

Mwanzo kabisa hata vitabu vya dini vilionekana kama ni uasi.
Watu walirakiwa wahifadhi amri na sheria za dini na imani kwa kukariri kichwani.

Kuandika kwenye Makaratasi na kuweka mpaka namba ilikua ni kama uvivu na kutoheshimu maneno ya Mungu ambayo yalitolewa kwa Mdomo na kuelekezwa kuwa yarithishwa kwa njia ya simulizi kwa vizazi na vizazi.
Sayansi na Utawala wa akili za binadamu ndio ulioamua kuchapisha vitabu vya dini na kuvipangilia kwa namba na aya mbalimbali.

Kwa hiyo sioni tatizo kutumia Simu kwa akili ya kumtukuza Mungu.
Kazi ya waumini wa kweli ni kuteka na kuharibu ngome za shetani na kuzigeuza zimtii Mungu katika Ufalme wa Kristo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dhima ya simu janja, ujio wa namba ya siri na matumizi yasiyoepukika ya namba ya siri, mfumo Kristo na mpinga Kristo ndio msingi wa mada

Jr
 
Tupo kwa ajili ya kutafuta ukweli uliofichika, bila dhihaka, bila kejeli bila dharau, nje na juu ya tongotongo za kiimani na ibada tusizozijua vema... Akili kubwa zaidi ya kuingia kwenye nyumba zetu za ibada na kukariri mapokeo... Waislam na wakristo ni wahanga kwenye hili

Jr
Hii kuhusu 666 uislam haina kabisa boss
Na hii link ya islamrevealed.og mwandishi ni mwarabu mkristu ndio kaandika hayo kwa matakwa yake
Anasema eti waislam wengi wanatumia hii namba wakati katika uislam haipo
Mijadala kama hii huwa inaleta migongano na kashfa
751e2abc292c58fc65a5feb8b46fadd1.jpg

Sent from my SM using Tapatalk
 
Kwa upande mwingine kuna wakati upo nje ya mji wako na huna desturi ya kutembea na vitabu husika simu inakua mbadala, mfano mdogo ni wale tunaokua kwenye misafara ya kwenda kupumzisha wenzetu waliotutangulia
 
Dunia inatawaliwa na namba ya siri... Ambayo ni 666.... Namba ya mpinga KRISTO.... Imo mpaka kwenye nyumba za ibada... Zaka na sadaka kwa tigo pesa, mpesa nknk....
Ikubali uishi... Ikatae ufe... Namaanisha namba ya siri 666... Hata kondom zako 3 ni kiwakilishi cha namba ileile ya siri

Nimekuelewa sana mkuu ,ni ujumbe fikirishi baada ya kuusoma nimegundua hata tunavyoingia kwenye mtandao WWW = 666

Ukisoma maandiko , number 666 imeongelewa kwenye Ufunuo wa Yohana 13: 16-18 tukianzia mstari wa 16.

Ufunuo wa Yohana 13:16 Naye awafanya wote, wadogo kwa wakubwa, na matajiri kwa maskini, na walio huru kwa watumwa, watiwe chapa katika mkono wao wa kuume, au katika vipaji vya nyuso zao;
- Sasa hivi Simu za kila mtu anazo si maskini ,si tajiri hadi watumwa wanazo. Ikumbukwe nia ya Shetani ni watu wengi wamgeukie yeye na kumsahau Mungu.
- Simu unavyoshika mkononi ndio chapa hiyo na inamulika usoni.
Tukiendelea na Mstari unaofuata

Ufunuo wa Yohana 13:17 tena kwamba mtu awaye yote asiweze kununua wala kuuza, isipokuwa ana chapa ile, yaani, jina la mnyama yule, au hesabu ya jina lake.
- Hili nalo limetimia sasa hivi biashara zote zimehamia kwenye WWW hauwezi kuuza wala kununua bila kwenda kwenye mtandao.

Ufunuo wa Yohana 13:18 Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na akili, na aihesabu hesabu ya mnyama huyo; maana ni hesabu ya kibinadamu. Na hesabu yake ni mia sita, sitini na sita.

Kwa kumalizia watu wasitegeme kuwa kuna siku mtu atakuja na muhuri na kubandika watu hiyo number 666 , wala maandiko hayajasema kuwa hiyo alama ni ya kudumu usoni, kwa hiyo simu yako kuwa kiganjani na ukianza kuperuzi chapa tayari inakuwa usoni
0A46D87C-4336-425B-8815-857A961E2965.jpeg
 
Hii kuhusu 666 uislam haina kabisa boss
Na hii link ya islamrevealed.og mwandishi ni mwarabu mkristu ndio kaandika hayo kwa matakwa yake
Anasema eti waislam wengi wanatumia hii namba wakati katika uislam haipo
Mijadala kama hii huwa inaleta migongano na kashfa
751e2abc292c58fc65a5feb8b46fadd1.jpg

Sent from my SM using Tapatalk

Jr
 
Kwa upande mwingine kuna wakati upo nje ya mji wako na huna desturi ya kutembea na vitabu husika simu inakua mbadala, mfano mdogo ni wale tunaokua kwenye misafara ya kwenda kupumzisha wenzetu waliotutangulia
Simujanja ni kama kisu au moto, inategemea unaitumiaje

Jr
 
Nimekuelewa sana mkuu ,ni ujumbe fikirishi baada ya kuusoma nimegundua hata tunavyoingia kwenye mtandao WWW = 666

Ukisoma maandiko , number 666 imeongelewa kwenye Ufunuo wa Yohana 13: 16-18 tukianzia mstari wa 16.

Ufunuo wa Yohana 13:16 Naye awafanya wote, wadogo kwa wakubwa, na matajiri kwa maskini, na walio huru kwa watumwa, watiwe chapa katika mkono wao wa kuume, au katika vipaji vya nyuso zao;
- Sasa hivi Simu za kila mtu anazo si maskini ,si tajiri hadi watumwa wanazo. Ikumbukwe nia ya Shetani ni watu wengi wamgeukie yeye na kumsahau Mungu.
- Simu unavyoshika mkononi ndio chapa hiyo na inamulika usoni.
Tukiendelea na Mstari unaofuata

Ufunuo wa Yohana 13:17 tena kwamba mtu awaye yote asiweze kununua wala kuuza, isipokuwa ana chapa ile, yaani, jina la mnyama yule, au hesabu ya jina lake.
- Hili nalo limetimia sasa hivi biashara zote zimehamia kwenye WWW hauwezi kuuza wala kununua bila kwenda kwenye mtandao.

Ufunuo wa Yohana 13:18 Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na akili, na aihesabu hesabu ya mnyama huyo; maana ni hesabu ya kibinadamu. Na hesabu yake ni mia sita, sitini na sita.

Kwa kumalizia watu wasitegeme kuwa kuna siku mtu atakuja na muhuri na kubandika watu hiyo number 666 , wala maandiko hayajasema kuwa hiyo alama ni ya kudumu usoni, kwa hiyo simu yako kuwa kiganjani na ukianza kuperuzi chapa tayari inakuwa usoni
View attachment 992238

Jr
 
Hahaha zinasaidia ku google vifungu vya bible na verifications za mahubiri. Na pia wengine wanazitumia kama recorder. Pia selfie unapokutana na binti mzuri huko kwa ibada.
 
32 Reactions
Reply
Back
Top Bottom