small but nice

englibertm

JF-Expert Member
May 1, 2009
9,252
6,207
kigali internatinal air port
556711_572175152821735_1404960944_n.jpg
 
Kama mchoro !!

Ila kiukweli Kigali wana kiwanja kidogo lakini kizuri, kisafi na kinatunzwa vizuri. Halafu hata wahudumu wake ni watu wanaojua kwa nini wako pale, wana msaada sana kwa kweli. Ila sijajua hali ikoje kwa wageni wa kitanzania baada ya ile saga kati ya JK na Kagame.
 
Back
Top Bottom