Slumdog Millionaire | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Slumdog Millionaire

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Masanilo, Feb 8, 2009.

 1. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Wadau ninatafuta link niweze download hii movie ya akina Dev Patel (slumdog millionaire na hii ya Kate Winslet (The Reader). Zimekuwa nominated mara nyingi kwenye British Academy Film (BAFTA Awards).

  Kama kawaida JF hakuna kilicho nje ya uwezo!! Natanguliza shukrani

  Masa
   
 2. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #2
  Feb 8, 2009
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  try aresgalaxy.com or .org
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Thanks mkuu, ila hii aresgalaxy inataka membership for 34.95$ which is quite a lot, kwa kitu niwezacho pata for free.....
   
 4. Nkamangi

  Nkamangi JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2009
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 642
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Limewire free downloads, ukitaka kuangalia online bila kudownload kuna sites nyingi google tu
   
 5. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hii Limewire ina uzushi nimejaribu hainipi full movies, naogopa angalia online virus na hackers mkuu unajua tena wengine laptop is everything nadhani umenipata!
   
 6. Nkamangi

  Nkamangi JF-Expert Member

  #6
  Feb 9, 2009
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 642
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  kunasites safe naangalia kila siku, hiyo laptop yako haina vikingio? project free tv na afterhourmovies ni reliable sites
   
 7. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #7
  Feb 9, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Poa Kamanda!
   
 8. The Spit

  The Spit JF-Expert Member

  #8
  Feb 9, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
 9. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #9
  Feb 9, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
 10. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #10
  Feb 9, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,851
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  kama upo Tanga ninaweza kukupatia leo hii kama huko Dar nnaweza kukuelekeza mtu ambaye atakupatia kama unaihitaji saana.
  Iko Bomba maana Huyo patel aliocheza hiyo cinema nikichwa kinoma.
   
 11. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #11
  Feb 9, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mpiganaji TP

  Nashukuru sana nimeisha ishusha toka kwenye net nasubiri nikitoka hapa ofisini nikaione home. Nimepata link hapa JF. Nilipo Mkuu hadi uvuke Mediterranean sea...

  Thanks
   
 12. Kweli

  Kweli JF-Expert Member

  #12
  Feb 9, 2009
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,124
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Mkuu Masa unaweza kunipa hio link na mimi? ila kama Limeware nitaisamehe.
   
 13. Kitia

  Kitia JF-Expert Member

  #13
  Feb 9, 2009
  Joined: Dec 2, 2006
  Messages: 410
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
 14. mwanakwetu

  mwanakwetu Member

  #14
  Feb 9, 2009
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 90
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mkubwa heshima yako! sasa nenda hapa Torrents Search Engine kisha type jina la movie hizo utazipata. Ila angalia zinatofautiana viwango kwa quality ya uhakika chagua iliyoandikwa dvdrip. Usiache kuangalia Slumdog millionaire. Mimi sio mpenzi wa movie za kidosi lakini for the first time wadosi wamesheza serious movie kwa mtazamo wangu. Labda sababu waongozaji ni wazungu au sababu sio mpenzi wa movie hizo pia inawezekana.
   
 15. mwanakwetu

  mwanakwetu Member

  #15
  Feb 9, 2009
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 90
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Msaada mwingine wenye manufaa kwako na kwa wengine. Download hii search engine inaitwa Vuze. Nenda Vuze HD Network. Ukishaipata utakuwa unashusha music, softawares, ebooks, ma-movie ya kufa mtu na mazaga mazaga kibao. Kazi kwako.
   
 16. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #16
  Feb 10, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,851
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Nyinyi watu mlikuwa wapi wajameni, Kumbe mna mavituzi haya mwageni malink watu tudownload free. (Kwanini viuzwe?)
   
 17. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #17
  Feb 10, 2009
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Mhh, lakini huu si ni wizi? Au JF wana immunity dhidi ya protected materials!!!:rolleyes:
   
 18. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #18
  Feb 10, 2009
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
 19. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #19
  Feb 10, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,851
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135

  Hapana huo sio wizi sema tu Tupo bongo kwani hizo software ambazo ni pirate unadhani tunazitumia kwanini?
  Sababu hauwezi kuzinunua kwanjia rahisi. Process ni ndefu na wizi ukiwemo mara nyingi watu wamepoteza pesa zao ktk hayo mambo ya e-commerce.
   
 20. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #20
  Feb 10, 2009
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Kwa hiyo mkuu tunajilipa kiaina!!:rolleyes:
   
Loading...