Sliding Skeleton Trailer

Westham

Member
Nov 7, 2013
23
0
1999 Sliding Skeleton Trailer, 14 Containers Locks,Drum Brakes,SuperSingle Tyres, Zimelipiwa ushuru zote, hazijafanya kazi Tanzania hata siku mmoja, zote zipo Vikindu kama unataka kuziona, Kwa mawasiliano zaidi UKtoTZ@gmail.com bei $13500 each.
 

Attachments

  • IMG-20130917-WA004.jpg
    IMG-20130917-WA004.jpg
    119.4 KB · Views: 96
  • IMG-20130917-WA005.jpg
    IMG-20130917-WA005.jpg
    73.9 KB · Views: 104
  • IMG-20130917-WA006.jpg
    IMG-20130917-WA006.jpg
    120 KB · Views: 91
  • tra.jpg
    tra.jpg
    101.4 KB · Views: 97
  • trailer.jpg
    trailer.jpg
    111.9 KB · Views: 99
Unataka installments ya malipo baada ya muda gani? Kuna Advance payment yoyote utalipa kwanza? Trailer zinabaki kwangu mpaka unamaliza malipo au unachukuwa trela zote? Installments ipo kwa maelewano. **Trailer mbili zimeshauzwa*
 
Tunakubaliana amount ya advance, duration ya payment, kadi unaweza kukaa nazo sio tatizo. Tutafte kwenye simu. Pm me your numbers!
 
Nikupe used Volvo FH12 380. Midlift 6x2 units mbili (2) zote ziko sawa sawa na nzima kabisa nikupe lorry 2 uniachie hizo trailer 3....
 
Nikupe used Volvo FH12 380. Midlift 6x2 units mbili (2) zote ziko sawa sawa na nzima kabisa nikupe lorry 2 uniachie hizo trailer 3....

Ahsante kwa Offer yako, Mimi sitaki gari nnauza Trailers tu, Ukifanikiwa kuuza gari zako njoo ntaakuzia Trailer.
 
mkuu hapa naona unaongelea skeleton tu, vipi kuhusu, normal trailler , n shi ngapi
 
Trailer bado zipo, Hizi za njano kwa $11500, kwa mawasiliano UKtoTZ@gmail.com au 0714666766.
 

Attachments

  • ww.jpg
    ww.jpg
    76.9 KB · Views: 64
  • qq.jpg
    qq.jpg
    67.4 KB · Views: 64
  • q.jpg
    q.jpg
    87 KB · Views: 66
  • w.jpg
    w.jpg
    84.5 KB · Views: 66
Kaka hizo cab za 124 ni nzima? Mie nahitaji cabin complete mpaka vitu vya ndani
 
Back
Top Bottom