Sliders watu wenye nguvu ya ajabu ya ku-control/kuingiliana na umeme

mkuu hii mada imenigusa
na kunichanganya pia
maana hiki kitu unachokizungumzia kimenitokea juzi
hapa mji wa kiselikali dodoma.
nilikuwa nmepanda pikpki
mimi na mwenzangu
tulipofika kwenye mataa kila tukifika kwenye taa mwanga unaongezeka panakua peupe sana,
ukivuka mwanga unapungua
hii hali ilitushangaza hadi mwenzangu aliniuliza kwamba
kwanini tukifika kwenye taa mwanga unaongezeka?
mimi nikamjibu kwamba
labda inawezekana hizi taa
wamezifunga maalumu
kwa mwanga wa wastan
ili zisitumie umeme mwingi
lakin mtu akipita zinatoa mwanga ili mtu aone vzur
kisha zinarud kwenye hali ya kawaida
ili zisitumie umeme mwingi.
Hebu jaribu kujichunguza wewe au mwenzako huyo katika matukio ya namna hiyo.
Mkiona hamna dalili yoyote ya kuwa namna iliyoongelewa hapo
,basi kuna sababu nyingine zilizosababisha athari ya hizo taa kama ulivyomwambia mwenzio
 
Nimewahi kufanya kazi na kijana mmoja ambaye kila anapopita kwenye scanner anasikia kimlio kama kengele kwenye sikio lake... akaomba ruhusa asiwe ana pita direct kwenye scanner...... Nilikuwa najiuliza hii ni nini,sijawahi elewa... labda wajuzi watasema jambo
 
Mkuu mimi nakumbuka enzi tupo shule ya msingi kuna nyumba ya mzee mmoja hivi alikuwa na bomba ile ya kubebea dishi za ving'amuzi yale maungo makubwa ya zamani.

Sasa lile bomba lilikuwa ni la chuma kila tunavyoludi shule lazima tulichezee sasa maajabu yalikuwa wengine wakishika amna kitu ila mimi nikishika napigwa na shoti ya umeme kila nikiwaeleza wenzangu kuwa iyo bomba mimi nikishika inanipiga shoti awaelewi maana wao wanashika vizuri tu.

Mpaka leo sijawaielewa kwanini ilikuwa inatokea vile.
 
Huna chuma chochote mwilini thru op!

Maana Nina bro,yule ni robot ana vyuma mwilini vya kutosha toka MOI
 
Naona kuna wajomba wanauliziana bei za mbolea na mwingine fungu za mchicha na mchai chai 😂😅 watu mmepinda aseee
 
Ku
Mkuu mimi nakumbuka enzi tupo shule ya msingi kuna nyumba ya mzee mmoja hivi alikuwa na bomba ile ya kubebea dishi za ving'amuzi yale maungo makubwa ya zamani.

Sasa lile bomba lilikuwa ni la chuma kila tunavyoludi shule lazima tulichezee sasa maajabu yalikuwa wengine wakishika amna kitu ila mimi nikishika napigwa na shoti ya umeme kila nikiwaeleza wenzangu kuwa iyo bomba mimi nikishika inanipiga shoti awaelewi maana wao wanashika vizuri tu.

Mpaka leo sijawaielewa kwanini ilikuwa inatokea vile.
Kuna vitu hao wanasayansi bado hawajavigundua bado, possibly we ni aina ya watu wanaozungumziwa kwenye hii mada
 
Wakati nipo mdogo kipindi icho nina miaka kama 9 nilikataga waya ya redio afu nikachomeka kwenye umeme mawazo yangu nikilamba labda ntaona ladha ya chaji kilichotokea ni siri yangu!
 
Back
Top Bottom