Slavery Industry in Dar

Dua

JF-Expert Member
Nov 14, 2006
3,229
662
The house-girl ’slavery’ industry in Dar.
TITO MGANWA Dar es Salaam said:


A LARGE number of young girls originating from upcountry rural settings are being condemned to harsh conditions of virtual enslavement in Dar es Salaam, either living in domestic servitude as house girls or being forced into child prostitution, it has been asserted. According to various youth counsellors in the city, there is an emerging trend where mostly teenaged girls arriving from villages in search of a better life in the city end up being sold as ’slaves.’

’’Some people have actually turned this into a lucrative business. They bring the young girls over from their original homes in the regions, and sell them as a commodity once in Dar es Salaam,’’ said one counsellor working with the Tandale Centre for Youths and HIV/AIDS in the city.

Speaking to reporters, the counsellor - who asked not to be named for fear of jeopardising her work with troubled youths - said there has been a notable increase in such trafficking of young girls in recent years. She said many rural children are tricked out of their homes by stories about a luxurious lifestyle in the cities, but most of them end up either as house girls, barmaids or prostitutes after being ’sold’ off in the city.

’’I personally have seen cases where young girls were sold to work in people’s homes as house girls, but ran away after being mistreated by their bosses and instead became child prostitutes,’’ the Tandale counsellor said. She added: ’’Most of these children are psychologically traumatised from such ordeals, and they only think about how to get money by any means necessary, with little regard for their own personal well-being.’’

Reflecting on her own experiences at the centre located in one of the poorest suburbs in Dar es Salaam, she said she had found that most of the prostitutes who go there for counselling were initially brought to the city as house girls. ’’Most of the former house girls who have turned to prostitution stay in cheap guesthouses, paying for the accommodation from money they earn from prostitution,’’ she said.

She said counselling alone was not enough to pull the girls out of the vicious cycle of poverty and prostitution, and most of them needed to be shown a better alternative way to earn income before they could be convinced to abandon their current way of life. ’’If you talk to them, you will find they have their own reasons for doing what they do. Some of them will tell you heartbreaking stories of their lives and how they were ultimately forced into prostitution,’’ said the counsellor.

Various studies have shown a strong link between domestic work employment and prostitution. According to the findings of a rapid assessment by ILO-IPEC on children and prostitution in Tanzania, done in 2001, as many as 25 per cent of the children found in prostitution were former domestic workers.

But social workers say those figures could now be much higher, estimating that up to half of the prostitutes probably started off as domestic workers. Statistics show that most child domestic workers are female and between 13 and 15 years old, with a few being as young as 6 years old.

Another 2001 report said the practice of trafficking children for domestic work is very common in Tanzania, and also that there were at least 800 children in prostitution in Arusha, Dar es Salaam and Singida. It further asserted that sex tourists were increasingly seeking children in these regions.

Sheria zetu za wafanyakazi wa nyumbani ni hafifu sana na swala hili ni lazima serikali ilishughulikie ingawaje wengi wa watuhumiwa ndio wafanyakazi wa serikalini ambao kipato chao sio kikubwa. Lakini madhara yake ni makubwa kwa taifa. Naomba tulijadili hili kwani wengi wanaodhurika hawawezi hata kujisemea.
 
Ndiyo maana tukipata nafasi katika balozi zetu baadhi yetu tunaleta watumishi wa ndani na kuwatendea kama watumwa.
 
Hili kwa muda mrefu inanisikitisha mimi. Watanzania wengi sana wana hawa wafanyakazi wa ndani lakini hawawatendei haki.

Kuna watu niliwahi kuwaambia wanachofanya ni makosa, hawakuongea na mimi kwa muda mrefu.

Watoto wengi ni wadogo na wanatakiwa kuwa shuleni badala ya kufanyishwa kazi za majumbani.
 
ndiyo maana tukipata nafasi katika balozi zetu baadhi yetu tunaleta watumishi wa ndani na kuwatendea kama watumwa.

I guarantee you ni kesi moja tu ya yule balozi aliondoka, Daraja, kulikoni kugeneralize mzee? Au kuna balozi mwingine aliyefanya hayo mambo ? hivi mama Maajar naye anafanya hivyo hivyo?
 
Kwa kweli hii ishu ni serious sana!,
Wafanyakazi wa ndani kwa majumba yaliyo mengi is absolutely an open slavery!

Kwanza wengi hawaweki mikataba ya kikazi wanapoanza kazi, hivyo hii inatoa uhuru kwa mwajiri kufanya uamuzi wowote bila kumshirikisha house girl.

Pili kazi wanazotakiwa kufanya haziwi specific, yaani mfanyakazi wa ndani atatikiwa kufanya kazi yoyote itakayoletwa mbele yake na Mwajiri, hakuna time table ya kazi, yaani lilomo katika akili ya mwajiri ndo hilo hilo twende

Wengi hawapewi uhuru wa kutosha wa kufanya mambo yao binafsi, yaani wengi wanageuzwa kama wafungwa wakati mwingine, mathalani mfanyakazi wa ndani anapotaka kwenda kuwaona ndugu, jamaa na marafiki, ama kutembea zake ama kufanya mambo mengine kama vijana wengi "walio huru" watakavyo, mara nyingi bosi hamkubalii.

Pili unyanyasi wa halia ya juu, Mabosi wengi wa kiume huwataka kimapenzi wafanyakazi wa ndani kwa kutumia njia za kinyanyasaji,
wengi hutishiwa kufukuzwa kazi iwapo hawakubali matakwa ya mabosi wao. pia kutokupewa mishahara yao kwa wakati muafaka na wakati mwingine kutokupewa kitu kabisa,

Pia kutokuzingatia umri wa mfanyakazi wa ndani mwenyewe, unakuta mfanyakazi anahesabika kisheria kama mtoto "under 18" lakini anapewa kazi za kulea familia ,kulea watoto wenzie, kazi lukuki zisizo mithilika.

Actually jamii ya watanzania inabidi tulitizame hili swala kwa makini sana, iwapo tunalalamikia mambo tuliyofanyiwa na wazungu enzi hizo, haifai na sisi kuwafanyia binadamu wenzetu, hata kama kijuu juu itaonekana kama ni makubaliano ya watu wenyewe.
 
Dua,
Hizo sheria zipo, lakini kutokana na hali halisi hazitekelezeki. Unajua hata hao wanaofanyiwa mambo hayo akiangalia ni wapi akimbilie, kwao ambako hakuna umeme, maji, hata kununua nguo na chakula ni isee, au kukaa Mjini ambako maisha ni better japo yana uchungu, anaona ni afadhari akae mjini. Nina mfano wa msichana aliyechukuliwa kutoka Iringa kuja Dar, aliporudishwa Iringa baada ya kujirusha na mume wa mtu, baada ya mwezi mmoja karudi dar, aliyokuwa anafanya hayakuwa masafi lakini, ndiyo yaliyomuwezesha kuishi na kuachana na kadhia ya kijijini, Ni vigumu lakini ni hali inalazimisha hivyo.
 
Bongolander

Nafikiri kama sheria zipo tuanze sasa kutuma wachunguzi kwenda kwenye nyumba na kupata ushahidi. Kwanza nafikiri kama sheria zipo ziwekwe kwa uwazi walipwe kiasi gani na masaa ya kazi yaanikwe, haiwezekani mfanyakazi kufanya kazi round the clock wakati halipwi hivyo. Kuna mahali lazima tuanzie ndio changamoto hii JF members watoe madukuduku yao. Karne ya 21 utumwa upo mbele ya macho yetu na sisi tupo kimya.
 
Last edited by a moderator:
The house-girl slavery industry in Dar.


Sheria zetu za wafanyakazi wa nyumbani ni hafifu sana na swala hili ni lazima serikali ilishughulikie ingawaje wengi wa watuhumiwa ndio wafanyakazi wa serikalini ambao kipato chao sio kikubwa. Lakini madhara yake ni makubwa kwa taifa. Naomba tulijadili hili kwani wengi wanaodhurika hawawezi hata kujisemea.
Suluhisho ni kupiga marufuku shughuli za house girls.
 
Suluhisho ni kupiga marufuku shughuli za house girls
Mkuu unafahamu kabisa hilo haliwezekani, sheria zibadilishwe tu. Hakuna cha kusema huyu ni ndugu yangu wala nini. Kiwekwe kiwango na watakaokiuka wakione cha moto. Muda wa kazi uwekwe wazi ujulikane na kazi zinazofanywa zitambuliwe, sio kila kazi basi anasukumiziwa mfanyakazi wa nyumbani.

BTW hii thread ni ya zamani na umuhimu wake upo palepale. Naona JPM anaweza kulivalia njuga hili. He's the only honest man.
 
Mkuu unafahamu kabisa hilo haliwezekani, sheria zibadilishwe tu. Hakuna cha kusema huyu ni ndugu yangu wala nini. Kiwekwe kiwango na watakaokiuka wakione cha moto. Muda wa kazi uwekwe wazi ujulikane na kazi zinazofanywa zitambuliwe, sio kila kazi basi anasukumiziwa mfanyakazi wa nyumbani.

BTW hii thread ni ya zamani na umuhimu wake upo palepale. Naona JPM anaweza kulivalia njuga hili. He's the only honest man.
Nakubaliana na wewe..
 
  • Thanks
Reactions: Dua
Back
Top Bottom