Slaa, Zitto, Lisu, Mdee, Mbowe, Mnyika etal: Polisi ni rushwa+wauajia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Slaa, Zitto, Lisu, Mdee, Mbowe, Mnyika etal: Polisi ni rushwa+wauajia

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Malunde-Malundi, Jun 7, 2011.

 1. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hi wapambanaji. Someni tarifa ya takukuru ya rushwa, polisi wanaongoza kwa ufisadi, na chagonja,mwema, manumba wanafaidika na hili, so hawawezi kutenda haki dhidi yenu chadema wasema kweli na haki. Put a very clear agenda kuwa chadema inapambana na mafisadi wa serikali wa mali ya umma wakilindwa na mafisadi yaani polisi, let this be a public move if they cant reform by the campaign ndani ya bunge na nje kwa rushwa na ufisadi, kuua watu yaani polisi ni wauwaji refer tarime na arusha na hawaaminiki tena. La sivyo bado wataleta shida na mitumbo yao. Naomba vita iwe ya ccm na polisi iwe wazi ili kuleta uwiano mkipulizia eti ni mali ya umma wao wanang'ata hapo hapo na kampeni juu. Niwe wazi statement ya chagonja ni ya mlevi sio ya inteligentsia wa taifa. Mahakama imesema mbowe hana kosa polisi unaanza matusi why? Binafsi naanza hiyo vita naamini hao ni tatizo kubwa sana kwa taifa letu hawana chembe ya kusaodia taifa. Nawasilisha nitarudi tena
   
 2. M

  Mdau NO 1 Member

  #2
  Jun 7, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  iko wapi hiyo taarifa?
   
Loading...