Elections 2010 Slaa yuko wapi?

mamanalia

JF-Expert Member
Nov 7, 2009
666
146
Anaandaa sababu za kushindwa, probably atasema nimeibiwa, an usual song for wapinzani.
 
Mkuu ni majimbo 10 tu ndo yametangazwa..umejuaje kashindwa.??
 
Dr.Slaa anajua fika kuwa sheria ya kuhesabu kura ni vituoni na si vinginevyo.Ukipigwa kituoni umeliwa huna chako wataachia tu hawana ubavu.Dr.Slaa hana haja ya kukurupuka amejifunza mengi katika hii kampeni, hahitaji kuongea CCM wanajaribu kumtega alopoke.Imekula kwao

DR.SLAA usiongee chochote sheria wameziweka wenyewe acha ziwatafune hawakujua kama wewe ni SUNAMI??????
 
intellingencia yako iko juu
 
We usituletee habari za upuuzi kwenye maisha ya watu. Huo ni upumbavu na mawazo potofu yaliyopitwa na wakati kwamba CCM kidumu. Slaa ni mtu makini hana fikra potofu kama zako hata hakishindwa inategemea ni ushindi wa CCM ukiwa wa KISHINDO kama msemavyo lazima mtakuwa mmeiba kwahiyo usikimbilie kusema kuna ni kisingizio cha wapinzani wakati ndio kawaida ya CCM kama wanaibiana kura wenyewe kwa wenyewe wakati wa kura za maoni itakuwa sasa.:bowl:
 
Sidhani kama ni busara kwa sasa kupayuka NEC wakishaweka mambo hadharani ndo tutaona wachongaji!!
 
Dr.Slaa anajua fika kuwa sheria ya kuhesabu kura ni vituoni na si vinginevyo.Ukipigwa kituoni umeliwa huna chako wataachia tu hawana ubavu.Dr.Slaa hana haja ya kukurupuka amejifunza mengi katika hii kampeni, hahitaji kuongea CCM wanajaribu kumtega alopoke.Imekula kwao

DR.SLAA usiongee chochote sheria wameziweka wenyewe acha ziwatafune hawakujua kama wewe ni SUNAMI??????

Kura za vituoni inaonyesha hazina sana mshiko maana zanzibar kura za vituoni na zilizotangazwa mpaka sasa na ZEC zinatofautiana kuna mambo ya ajabu sana kwenye suala zima la jumla ya kura za vituoni na zile za kujumuisha.
 
Anaandaa sababu za kushindwa, probably atasema nimeibiwa, an usual song for wapinzani.

Acha longolongo, CCM wameshakataa matokeo sehemu kibao na bado wanachakachua sehemu kibao. Nani asiyejua? hata mtoto wa kindegarten anajua kabisa kuwa NEC ni CCM na CCM ndo NEC, lakini Slaa hana mda wa kutafuta sababu, Mbona wanaiba kweupeee nasi tunaona
Check hapo kawe nini kimekwama kama siyo wanaiba??
 
We usituletee habari za upuuzi kwenye maisha ya watu. Huo ni upumbavu na mawazo potofu yaliyopitwa na wakati kwamba CCM kidumu. Slaa ni mtu makini hana fikra potofu kama zako hata hakishindwa inategemea ni ushindi wa CCM ukiwa wa KISHINDO kama msemavyo lazima mtakuwa mmeiba kwahiyo usikimbilie kusema kuna ni kisingizio cha wapinzani wakati ndio kawaida ya CCM kama wanaibiana kura wenyewe kwa wenyewe wakati wa kura za maoni itakuwa sasa.:bowl:

Poolee!! I know it hurts, bt it will heal soon.
 
Mkuu ulitake awe wapi? safarini kama mkwere kuchakachua matokeo. Ni mwanasheria bado amtulia tu kusubiri matokeo!
 
Anaandaa sababu za kushindwa, probably atasema nimeibiwa, an usual song for wapinzani.

Naona unawashwa sana kutaka kujua Dr Slaa yuko wapi unafikiri yeye ni kama mkwere aliyekimbilia kwenda Mwanza ili akamsaidie Masha kuchakachua kura Nyamagana wakati ameishashindwa
 
hIYO NI SAUTI YA SHETANI YULE YULE ALIYETUFANYA TUWE TULIVYO, SIKUSHANGAI ENDELEA NA MIHANGAIKO YAKO WAKATI SISI WATANZANIA TUNATAKA TUKUNYONGE KWA NGUVU YA MUNGU UMESHATUTES SANA. MUNGU YUPO UPANDE WETU
 
oh my God, nyie watu mtakufa kwa pressure, relax n accept tht slaa n chadema conclusively don't qualify 4 tht nation.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom