Elections 2010 SLAA won the election, but KIKWETE won the count!

Uswe

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,204
626
Jamani Matokeo ya urais yanachekesha sana kuyasikia, zile shutuma zilizovuja tarehe 10.10.2010 kuhusu kitengo flani nyeti katika nchi kinaandaa ushindi 'fake' wa asilimia 80% kwa JK na baadae zile nyaraka za kikao kilichafanywa mwanza tarehe 16 ambazo pia zilivuja siku chache tu baada ya kikao kile inatuambia kitu kimoja tu . . I know who I voted for. They also know. But only they know who received my vote!
 
Mkuu CCM wachakachuaji mbona sana tuuu....ooooooooooooohhhhhhh barua fake, ooooooohhhhhhhhhh hawataiba, maka leo matokeo bado what the facka iz this?
 
CCM si chama tena ni genge la wezi wa KURA

someone once said, 'it is not the people who vote that count, it is the people who count the votes' ukitaka kujua ukweli wa kauli, msikilize kiravu & co
 
Walianza kwenye mafuta sasa wameamia kwenye kuraaaaaaaaaa
Experience ya kutoshaaaaaaaaaa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom