Slaa tuko nyuma yako fanya haya............. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Slaa tuko nyuma yako fanya haya.............

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by mmaroroi, Nov 9, 2010.

 1. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #1
  Nov 9, 2010
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  1. Andaa vielelezo vyote vya wizi wa kura uvisambaze kwenye Ofisi za kibalozi na jumuia za kitaifa na kimataifa.
  2. Uwe makini na sheria za kifisadi za TZ za kumuweka mtu kizuizini kwa machafuko.
  3. Usigombee Uspika kwani si saizi yako(wewe ni Rais).
  4. Epuka wapinzani wanaotumiwa na CCM.
  5. Andaa operesheni nyangumi ili kujenga Chadema.
  6. Tupe msimamo wako ili tuwe sawa kwani tuko njia panda.
  7.........................
   
 2. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #2
  Nov 9, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Ondoa hiyo namba 6 au andika kitu kingine.
   
 3. M

  Mbalinga JF-Expert Member

  #3
  Nov 9, 2010
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 1,382
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Hiyo namba 6 hapo juu ndilo jambo la maana kwa sasa. Haipaswi hata siku moja kukaa kimya, Dr Slaa ulisema kabla ya mshindi kutangazwa kuwa hutayakubali matokeo, baada ya matokeo tumesikia kampeni kali ikikutaka uyakubali matokeo. Sasa tunataka tamko la chama. SISI WENGINE TUMESHA YAKATAA MATOKEO NA TUMEMKATAA KIKWETE. SASA TUNATAKA MWONGOZO NI NINI CHA KUFANYA.
   
 4. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #4
  Nov 9, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Tatizo muna haraka sana. Punguzeni munkari.

  Chadema ni chama cha wasomi. Hawawezi kuruhusu Katibu wao (Dr. Slaa) kuongea tu ili mradi anaongea.

  Mimi binafsi siko njiapanda.

  Na nina uhakika jambo kubwa na zuri linakuja kutoka uongozi makini wa Chadema.
   
 5. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #5
  Nov 9, 2010
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kama ulikuwepo.Slaa ni Rais wa mioyoni mwetu hadi 2015.
   
 6. URASSA THE DON

  URASSA THE DON Member

  #6
  Nov 9, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mahakama zote ni za CONTINUOUS CORRUPTION MOVEMENT (C C M)
   
 7. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #7
  Nov 9, 2010
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Haya maneno mnatengeza muda gani?
   
 8. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #8
  Nov 9, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,659
  Likes Received: 4,755
  Trophy Points: 280
  Imetulia.
   
Loading...