Slaa: Sikujua kama Josephine kaolewa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Slaa: Sikujua kama Josephine kaolewa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Reyes, Oct 2, 2010.

 1. R

  Reyes Senior Member

  #1
  Oct 2, 2010
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 188
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anadai pia kuwa hakujua kuwa Josephine ameolewa ama aliwahi kuolewa na hata pia Josephine hakuwahi kumweleza kuwa ni mke wa mtu.

  Dk. Slaa anaiomba Mahakama iitupe kesi hiyo kwani haina msingi wowote kwa sababu mdai mwenyewe alijidhalilisha kwa kukubali kutumiwa na chama cha siasa (hakukitaja) kutoa habari hizo kwenye vyombo vya habari na kukubali kuhamia nyumbani kwa mwanamke ambaye ni kiongozi wa chama hicho.

  Anadai kuwa kwa kutoa habari hizo kwenye vyombo vya habari, mdai ameonesha wazi kuwa hana maadili na hivyo Mahakama imwamuru alipe gharama za kesi hiyo. Mahakama ilipanga kesi hiyo itajwe Oktoba 5.

  HabariLeo | Slaa: Sikujua kama Josephine kaolewa
   
 2. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #2
  Oct 2, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Hakujua kama ameolewa ?? Sasa je anajua kuwa ameolewa na ana watoto Slaa timiza wajibu wako usingoje kuumbuliwa !!
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Oct 2, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Tarehe 5/10/2010 si mbali...Ngoja tuje kuisikilizia siku hiyo!
   
 4. R

  Reyes Senior Member

  #4
  Oct 2, 2010
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 188
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wajibu gani? ana wajibu wa kuendelea kumtunza Josephine, Yule jamaa alipaswa kwenda polisi baada ya kugundua kuwa mke wake haonekani, sasa kakaa miaka mitatu hadi uchaguzi, na hilo jimama linalokaa naye la CCM linalogombea jimbo moja la DSM atalipeleka wapi? yeye alulie na jimama lake jipya na Josephine amuache na Slaa

  Tatizo lake ilikuwa ni pesa na kama hawakumpa imekula kwake kwani ishu yake imekosa mvuto kabisaa zaidi imemuongezea umaarufu Dr Slaa
   
 5. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #5
  Oct 2, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  what else can he say?

  Lazima aseme hakujua kuwa ni mke wa mtu kisheria
   
 6. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #6
  Oct 2, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  umeleta robo ya habari.
  Tupe ishu nzima hapa na siyo phrases.
   
 7. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #7
  Oct 2, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,356
  Likes Received: 3,122
  Trophy Points: 280
  HIZI PESA ZA EPA ZILIZOIBWA NA CCM ZITATUTESA KWA MUDA MREFU SANA KM TUSIPOCHUKUA HATUA YA KUKIKANA HADHARANI CHAMA HIKI CHA MAFISADI............ANGALIA SASA MZEE WA WATU AMENUNULIWA SIJUI KWA KIASI GANI MUNGU WANGU ETI AMUUMBUE DR.SLAA MBELE YA VYOMBO VYA HABARI..............MBAYA ZAIDI CCM WANALETA UCHAFU HUU KIPINDI HIKI AMBACHO WATZ SIO WALE WA PILAU NA POMBE ZA KIENYEJI ZA KILA BAADA YA MIAKA5
  bora slaa ameamua kuoa........mbona akina kikwete wanajichotea tubinti na wana skendo chungu nzima lakini tumenyamaza tu?
   
 8. Malafyale

  Malafyale JF-Expert Member

  #8
  Oct 2, 2010
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 11,209
  Likes Received: 3,622
  Trophy Points: 280
  Then ikiwezekana naomba muniunganishie dot kama umaskini wetu uliotukuka umesababishwa na Dr Slaa kumkwapua mke wa mtu!

  Wa TZ mwaka huu tupige kura zetu kwa nadharia za umaskini huu uliovuka kiwango na hasa tujiulize kabla hatujapiga kura kwa nini akina "Ridhiwan" tu ndiyo wanafaidi pato la Taifa kama vile TZ ni mali yao pekee yao na sisi tunabaki kama watazamaji tu?!
   
 9. l

  lembeni Member

  #9
  Oct 2, 2010
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Amedanganywa na Joaephine( First lady mtarajiwa ??????)
   
 10. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #10
  Oct 2, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  hajandanganywa madhali hakuuliza.............wenyewe wanaita White Lie tu :)
   
 11. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #11
  Oct 2, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 416,592
  Trophy Points: 280
  Huyu Mlalamikaji kwa kuishi na wanamke mwingine na kukaa kimya kwa miaka mitatu wakati sheria hiyo hiyo ya ndoa inasema mkiishi kama mke na mume kwa miaka miwili ninyi mnahesabika mpo kwenye ndoa.

  Sheria ni msumeno na hivyo kinyume chake ni kuwa ukiithibitishia mahakama ya kuwa wanandoa hamkuwa mnaishi kama mume na mke kwa kipindi kinachozidi miaka miwili basi sana sana mahakama itakachofanya ni kutamka kuwa ninyi mliachana baada ya hiyo miaka miwili iliyopita na hamna ndoa yoyote na hakuna kudaiana isipokuwa kama kuna mali mlizichuma mkiwa pamoja matagawana kulingana na jasho la kila mhusika.

  Hii ndiyo tafsiri sahihi ya shewria ya ndoa yetu.

  CCM wanatapatapa tu na hata sheria walizokuwa wanazipitisha wao wenyewe bungeni hata hawazijui wangelizijua wansingehangaika na huu upuuzi ambao unathibisha jinsi ambavyo walivyo mambumbu wa kutupwa.
   
 12. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #12
  Oct 2, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135

  Walipo date Slaa alikuwa bwax nini?
   
 13. Emma Lukosi

  Emma Lukosi Verified User

  #13
  Oct 2, 2010
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Nafurahi sana capt. Komba akiwa animba ile nyimbo ya:
  CCM CCM (Ahhh!) :violin:
  Chama cha mapinduzi CCM namba One.:music:

  Ukitizama Sura yake kwa makini huwa haina furaha kabisa, kwani anacho kiimba hakina uhalisia ndani ya moyo wake.
  Nisitoke nnje ya mada. ila ningependa kama angekua mwimbaji wa Taifa ndani ya serikali ya CHADEMA hapo October.
   
 14. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #14
  Oct 2, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,920
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Hivi wewe ndio unaigiza kwenye lile gazeti la sani?
   
 15. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #15
  Oct 2, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kuumbuka kupi tena huko ?
  Kama walishindwa kumuumbua kipindi kile makamba alipokuwa akiongea mbofumbofu ndio saa hizi wataweza?
   
 16. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #16
  Oct 2, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Thokomoko, mi thtaki kucheka.
  Lodi lofa na ndumilakuwili kunakutafuta.
   
 17. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #17
  Oct 2, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,584
  Likes Received: 4,693
  Trophy Points: 280
  Habari Leo kwa udaku, sasa hata maagazeti ya shigongo hayoni ndani kwa umbeya mbele ya Habari Leo
   
 18. kanyasu

  kanyasu JF-Expert Member

  #18
  Oct 2, 2010
  Joined: Feb 9, 2009
  Messages: 235
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dr slaa msomi na daktari unakaa na mwanamke anawatoto wawili hujui kama watoto wake wana baba?
   
 19. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #19
  Oct 2, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,175
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  Habari yoyote inayoshadadiwa na magazeti ya Daily Noise, Habari Leo na Uhuru huwa ni propaganda.

  Tunaomba siku Josephine akatoe ushahidi namna jamaa alivyokuwa functionless.
   
 20. kanyasu

  kanyasu JF-Expert Member

  #20
  Oct 2, 2010
  Joined: Feb 9, 2009
  Messages: 235
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unajua ushabiki mwingine ni kama utoto, yaani hata mtuhumiwa anapokubali makosa shabiki anapinga kama wewe unazani dr slaa ni msafi umechemka na hatudanganyiki.
   
Loading...