SLAA: Siku hizi bomba la mafuta TAZAMA halina kazi tena Tanzania ila Zambia

Geofrey Andrew Sanga

JF-Expert Member
Apr 8, 2013
251
55
Hii ni kwa mjibu wa Dr. Slaa alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara jijini Mbeya katika viwanja vya Dr. Slaa maeneo ya Mama John amesema kuwa bomba la mafuta kati ya Zambia na Tanzania siku hizi halifanyi kazi kama ilivyokuwa malengo yake ya awali ya kusafirisha mafuta kati ya Zambia na Dar es Salaam bali biashara inafanywa na maroli ya mafuta ambayo ni ya wakubwa fulani hapa Tanzania wananchi wakadakia na kusema maroli hayo ni mali ya mtoto wa baba riz.

Cha ajabu ni kuwa yakifika Tunduma maroli hayo hulazimika kuyatia ndani bomba hilo ili yaelekee Zambia kwani upande wa Zambia wana sheria kali ya kulinda barabara hivyo hawapendi kupitisha mafuta kwenye maroli wakati bomba lipo. CHANGAMOTO KWA WAZIRI WA UJENZI PAMOJA NA WAZIRI WA UCHUKUZI KWANINI? WASIPIGE MARUFUKU USAFIRISHAJI WA MAFUTA KWA NJIA YA BARABARA KUELEKEA ZAMBIA?

Ili kuokoa barabara yetu wakati bomba la TAZAMA likiwa linaoza huku watanzania tukikamliwa kodi kulipia deni la ujenzi wa bomba hilo ambalo lilijengwa kwa fedha ya mkopo na mkopo huo bado hatujamaliza kulipa mpaka leo.
 
Khaa!!! Dr anajua mahitaji ya mafuta nchini Zambia? Anajua uwezo wa bomba? Hata kugoogle ameshindwa?? Wakati mwingine bora kukaa kimya angalau unaficha ujinga wako
 
Hii ni kwa mjibu wa dr slaa alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara jijini mbeya ktk viwanja vya dr slaa maeneo ya mama john amesema kuwa bomba la mafuta kati ya zambia na Tanzania siku hizi halifanyi kazi kama ilivyokuwa malengo yake ya awali ya kusafirisha mafuta kati ya zambia na dar es salaam bali biashara inafanywa na maroli ya mafuta ambayo ni ya wakubwa fulani hapa tz wananchi wakadakia na kusema maroli hayo ni mali ya mtoto wa baba riz.

Cha ajabu ni kuwa yakifika tunduma maroli hayo hulazimika kuyatia ndani bomba hilo ili yaelekee zambia kwani upande wa zambia wana sheria kali ya kulinda barabara hivyo hawapendi kupitisha mafuta kwenye maroli wakati bomba lipo. CHANGAMOTO KWA WAZIRI WA UJENZI PAMOJA NA WAZIRI WA UCHUKUZI KWANINI? WASIPIGE MARUFUKU USAFIRISHAJI WA MAFUTA KWA NJIA YA BARABARA KUELEKEA ZAMBIA?

ili kuokoa barabara yetu wakati bomba la tazama likiwa linaoza huku watz tukikamliwa kodi kulipia deni la ujenzi wa bomba hilo ambalo lilijengwa kwa fedha ya mkopo na mkopo huo bado hatujamaliza kulipa mpaka leo
Post hii imenikumbusha sana mbali juu ya Watanzania tulivyo mamburura na tusiojitambua tunapomlinganisha JPM na Kikwete. Niishie tu hapa.
 
Kuna sehemu zingine bora JK mara 100 na sehemu zingine......Mmmm I kuna mmoja hana hekima wala busara!!!
 
Back
Top Bottom