Elections 2010 Slaa na Zitto nani anafaa kuwa mgombea chadema 2015,

Status
Not open for further replies.

janja pwani

Senior Member
Jul 27, 2011
104
9
Dr wilbroad peter slaa ana record nzuri aliyoiacha bungeni kwa kufichua ufisadi, pia ni mpambanaji, jasiri, na ana mtaji wa kura 2200,000/= alizozipata katika uchaguzi wa mwaka 2010 na ndie aliyepelekea chadema kupata wabunge weng katika uchaguzi uliofanyika mwaka jana ni mwanasiasa wa mrengo wa kulia. udhaifu: 1. ana kubalika sana na wapiga kura wa imani yake 2. ana penda sana siasa za propaganda zisizo na ukweli mf. suala la masanduku ya kura tunduma.

ZITTO: ni mjenga hoja mzuri ni mbunge na anaendelea kushikilia ubunge wake mpaka sasa ni mwenyekiti wa mashirika ya umma, amefanya kazi yake vizuri na anaendelea kuifanya, ni jasiri na ni mwenye siasa za mrengo wa kati, ameifanya kazi ya kuijenga chadema ktk operation tofauti, ana pendwa na watu rika zote na imani zote. udhaifu: msimamo wake ni wa kuyumba yumba: je? wanaJF ni nani kati ya hawa tukimsimamisha CCM itaondoka kiulaini?
 
This I can value THIS as Crap!! Sio Muda wake Kujadili mambo ya Kipuuzi!! Tujadili Kuhusu Maendeleo na Namna ya kuwakomboa ndugu Zako walioko kwenye Lindi la Umasikini!! Kwako wewe Kuweza kutumia Internet na kuanzisha Hoja za kijinga unajiona wewe Ni mwanga katika Giza!! Leta Hoja kama hizi
1. Je tutawezaje kukomboa Madini Yetu Yanayoporwa bila faida kwa Taifa??
2. Je ni kiongozi gani ataweza kusimamia kutetea maslahi ya Taifa?
3. Kwa nini Watanzania tunakuwa kama tumelaaniwa ili Hali Mungu katupa rasilimali Nyingi?
Hizi ndio Hoja za Kujadiliwa sio Huu Upumbavu!! SORRY NIMEKUWA MKALI KIDOGO NATEGEMEA NEXT TIME HUTATUMIA MASABURI KULETA HOJA
 
Swali halina maana kwasababu mwaka 2015 Zitto atakuwa na miaka 39, umri ambao kikatiba hauruhusiwi kugombea urais. Labda uniambie katiba itakuwa imeshafanyiwa marekebisho.
 
zitto naona anafaa kuwa mgombea wa cdm kwa kweli watanzania wote wanamkubali hato kuwa mzigo kumuuza.
 
Can we focus on fundamental issues of this Nation? Pervasive corruption, electricity shortage in generation and acces, poor education policy, poor rural water supply, low agricultural productivity, hopelessness in the citizenry, poor leadership in the state and institutions of democracy including parties, poor investment environment, higher maternal mortality rate and infant Mortality rate, skewed economic growth and many more.
 
This I can value THIS as Crap!! Sio Muda wake Kujadili mambo ya Kipuuzi!! Tujadili Kuhusu Maendeleo na Namna ya kuwakomboa ndugu Zako walioko kwenye Lindi la Umasikini!! Kwako wewe Kuweza kutumia Internet na kuanzisha Hoja za kijinga unajiona wewe Ni mwanga katika Giza!! Leta Hoja kama hizi
1. Je tutawezaje kukomboa Madini Yetu Yanayoporwa bila faida kwa Taifa??
2. Je ni kiongozi gani ataweza kusimamia kutetea maslahi ya Taifa?
3. Kwa nini Watanzania tunakuwa kama tumelaaniwa ili Hali Mungu katupa rasilimali Nyingi?
Hizi ndio Hoja za Kujadiliwa sio Huu Upumbavu!! SORRY NIMEKUWA MKALI KIDOGO NATEGEMEA NEXT TIME HUTATUMIA MASABURI KULETA HOJA

Mkwe21 hilo neno!!tujadili vitu vya maana hivi SISI TUMEROGWA???????????????????????????wanyamapori wanatoroshwa,madini yanaenda nje,reli ya kati na ya uhuru zinahali mbaya sisi tunakalia Zito na Slaa tumekuwaje ndugu zangu??
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom