SLAA na MBOWE waiangamiza CHADEMA.

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
Hawa jamaa kwa kweli wameiua Chadema na kuirudisha nyuma sana ,kumbe tatizo ni hela walizochota kwenye chama na hawana wala hawaonyeshi nia ya kuzilipa ,sasa hizi ziara ambazo nazifananisha na za yule ndege Kinana ni kutaka kuziba ufa na kulifuta deni kwa kujazia mahesabu huko kwenye ziara ,ikiwa bado mwaka tu na ushei kuanza kampeni za Uchaguzi Mkuu ziara hizi hazikuwa na maana zaidi ya ufisadi tu wa kuzila hela za Chama na kuwalaghai wananchi.

Madai ya Zito na wenzake kutaka hesabu za Chama yana ukweli kuwa sio bure kuna watu wanakula hela ndani ya Chama chao na hakuna wa kuwahoji ,badala yake wakubwa hao wanadai Chama ni Cha watanzania wote wapenda demokrasia hivi ,hapa pana demokrasia hapa ? Au ni wizi tu na kujirundikia mali kupitia hela za Chama.

Chadema mbona hawaundi tume huru kuchunguza hela ya Chama ? Kuna siri gani kwani tuhuma za kula hela sio ndogo na wahusika wawajibishwe ikionekana kweli.

Nawaonea huruma sana wanachadema ambao hawana mdomo wa kuwahoji viongozi wao na wale wanaowatumainia wakiinua sauti wanafukuzwa na hili genge la watu wachache waliokidhibiti chama.
 
nenda kazini na chapa kazi dogo slaa na mbowe , wamekokosea nini wewe.... Jenga uchumi wako kwanza.
 
Chadema mwisho wao ndiyo huu hakuna kipindi kingine tena cha kuwazika wao wamefanya chadema kuwa ni sacos yao wanaendesha maisha yao kwa kuiba pesa za chama huku viongozi wa mikoa na wilaya hawalipwi kitu wanaambiwa wajitolee.
 
Mbowe na Slaa ndio walioipandisha Chadema hadi kiwango hiki cha juu. Kumbuka chadema ilivyokuwa kabla Slaa hajagombea Uraisi! Ndo maana magamba yanakosa usingizi kwa ajili yao. Wanachombezea fitina ili waondoke katika nafasi zao za uongozi ili chadema iwe uchochoro wa wao kushinda chaguzi zijazo! Ng'o! Katu! Twasema hang'oki mtu hapa! Kwa vyovyote ni Mbowe na SLaa tu. Mgamba mlie tu!
 
Chadema mbona hawaundi tume huru kuchunguza hela ya Chama ?....
Mkuu, inaonekana unaandika kwa uchungu sana kuwashangaa na kuwaonea huruma wanachadema. Lakini unachokikataa wewe, wenzako ndio wameamua kuwenda nacho mbele, sasa ukiwa na uchungu sana na kitu kisichokuhusu, maana yake ni kwamba kitadumu hivyo hivyo huku wewe ukiwa hauna uwezo wa kukibadilisha, kwani sio miongoni mwa wanachama wa Chadema. Na kwa kuwa hakuna uwezekano kwako, utaishia kuumia roho mwishowe utakufa kwa mawazo. Ili usife au usiumie, fanya moja ya mambo mawili haya; Jiunge CHADEMA ili uwe na uhalali wa kuhoji AU kaa kimya uwaachie wanachadema walioridhika. Kuhamishia hasira zako za hawa wanachadema wasiohoji kwa chama chako cha CUF kunaweza kukusaidia pia kupunguza mawazo. Pole sana kwa kuandika kwa uchungu mkubwa, lakini tatizo ni kwamba jambo hili linawahusu wanachadema tu, labda wewe anza kumuandama Prof kuhusu muda wa uenyekiti wake
 
Chadema mwisho wao ndiyo huu hakuna kipindi kingine tena cha kuwazika wao wamefanya chadema kuwa ni sacos yao wanaendesha maisha yao kwa kuiba pesa za chama huku viongozi wa mikoa na wilaya hawalipwi kitu wanaambiwa wajitolee.

Ya wassira yametimiaa chezeya Zk anawavurugaa ile mbayaa,kina Lema wamekuja juzi midomo mirefuuuu kama kasukuu
 
Uchaguzi CUF lini? Mahali mtu Seif ni Sultan .Lipumba ni Mshili? Hamad Rashid aliponzwa na ukweli huu a kafukuzwa uanachama..cc barubaru,
 
Chadema ni mrad wa wenye chama chao icho,ndio maana hawatak kufanya esabu watu wajue matumiz na mapato.michango mbal mbal kwa njia tofaut imetokewa na wananch ipo wapi?ruzuku pia ipo wapi?kama c chama cha watu fulan tuweken waz juu ya ili
 
C mbowe wala slaha yoyote yule mkabidhi ela utajua alvo ata Wewe unaye soma apa ungepewa fungu la ela ungechukua tu.ela kitu kingine bana na chama apo ndipo kitakapo kuja kuyumba wasipo kuwa makin.Pia wajirekebishe mapema mno walzo weka mbavun warizike nazo
 
Ni chama kimoja tu cha siasa hapa tz ambacho mwenyekiti wake alipata zero (0) form six
 
Wewe vipi? ya CCM yamekushinda ya CHADEMA mtayaweza? kama mshaona shida zao achaneni nao nyie endeleeni na yenu ili mzidi kutawala.sasa mbona mnatoa tena siri za kuwapa ujanja? Mnakera kweli nyie CCM mnaomtetea Zito mtafikiri mlimtuma nyie au katoka chamani kwenu.
 
Wanachoweza slaa na mbowe ni kupora wake za watu na kumiliki vimada tu
 
Siasa hizi Dr.Slaa anahutubia mkutano Kigoma amesimama juu ya kigoda, tuliwaambia kuwa Chadema safari imefika wakawa wabishi naona majibu wameyapata.
 
Hawa jamaa kwa kweli wameiua Chadema na kuirudisha nyuma sana ,kumbe tatizo ni hela walizochota kwenye chama na hawana wala hawaonyeshi nia ya kuzilipa ,sasa hizi ziara ambazo nazifananisha na za yule ndege Kinana ni kutaka kuziba ufa na kulifuta deni kwa kujazia mahesabu huko kwenye ziara ,ikiwa bado mwaka tu na ushei kuanza kampeni za Uchaguzi Mkuu ziara hizi hazikuwa na maana zaidi ya ufisadi tu wa kuzila hela za Chama na kuwalaghai wananchi.

Madai ya Zito na wenzake kutaka hesabu za Chama yana ukweli kuwa sio bure kuna watu wanakula hela ndani ya Chama chao na hakuna wa kuwahoji ,badala yake wakubwa hao wanadai Chama ni Cha watanzania wote wapenda demokrasia hivi ,hapa pana demokrasia hapa ? Au ni wizi tu na kujirundikia mali kupitia hela za Chama.

Chadema mbona hawaundi tume huru kuchunguza hela ya Chama ? Kuna siri gani kwani tuhuma za kula hela sio ndogo na wahusika wawajibishwe ikionekana kweli.

Nawaonea huruma sana wanachadema ambao hawana mdomo wa kuwahoji viongozi wao na wale wanaowatumainia wakiinua sauti wanafukuzwa na hili genge la watu wachache waliokidhibiti chama.

kwa umbumbu wako unadhani fedha huwa zinachotwa tuu bila kupitia kwenye miferji yake.Pesa ina limitation baba...Acha kuandika ugoro na ushabiki humu njoo na facts acha uccm na utumwa wa mawazo.
 
Back
Top Bottom