Slaa, Kikwete wakabana koo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Slaa, Kikwete wakabana koo!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by travellah, Nov 1, 2010.

 1. t

  travellah New Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  NIMEAMUA KUSHARE EMAIL NILIYOTUMIWA NA RAFIKI YANGU AMBAYE NI MWANDISHI WA HABARI...


  JK, Dk. Slaa mchuano mkali

  *Arusha Mjini, Mbeya Moshi Mjini Iringa moto

  MATOKEO ya uchaguzi mkuu uliofanyika jana nchini kote yalianza kutangazwa jana jioni katika vituo kadhaa vya kupigia kura huku mchuano mkali ukiwa kati ya mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete, na mgombea kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa.

  ARUSHA

  Katika Jimbo la Arusha Mjini matokeo ya baadhi ya vituo vya Kata ya Kaloleni yalionyesha kuwa:


  Kituo ‘A’

  Urais: Kikwete 59, Dk. Slaa 112, Lipumba 4.


  Ubunge: Burian CCM , Chadema 113, TLP 1.

  Udiwani: CCM 52, Chadema 105, TLP 0.

  KITUO A 2

  Urais: Kikwete 76, Dk. Slaa 116, TLP 0.


  Ubunge: CCM 71, Chadema 120, TLP 2.


  Udiwani: CCM 70, Chadema 108, TLP 0.

  Kituo A 3

  Urais: Kikwete 67, Dk. Slaa 104, Lipumba 1.

  Ubunge: 62, Lema 109, TLP 2.

  Udiwani CCM 67, Chadema 97, TLP 2.

  Kituo D 1

  Urais: Kikwete 67, Dk. Slaa 118, Lipumba 5.


  Ubunge: CCM 61, Chadema 121, CUF 3. TLP 4

  Udiwani: CCM 57, Chadema 111, CUF 14, TLP 24.

  Kituo D 2

  Urais: Kikwete 64, Dk. Slaa 102, CUF 1, TLP 0.

  Ubunge: CCM 64, Chadema 69, CUF 2, TLP 2.

  Udiwani: CCM 60, Chadema 91, CUF 10, TLP 2.

  Kituo D 3

  Urais: Kikwete 50, Dk. Slaa 92, Lipumba 0.

  Ubunge: CCM 48, Chadema 90, CUF 1, TLP 0.

  Udiwani: CCM 43, Chadema 89, CUF 6, TLP 0.

  Kituo D 4

  Urais: Kikwete 67, Dk. Slaa 87, CUF 3.

  Ubunge: CCM 68, Chadema 87, TLP 2.

  Udiwani: CCM 63, Chadema 84, CUF 6.


  ARUMERU MAGHARIBI  Matokeo kamili ni kama ifuatavyo:

  Kituo namba 1

  Urais: Dk. Slaa 122, Kikwete 74.

  Ubunge: Chadema 106, CCM 91

  Udiwani: Chadema 126, Marunda 70.

  Kituo namba 2:

  Urais: Dk. Slaa 135, Kikwete 47.

  Ubunge: Chadema 108, CCM 71.


  Udiwani: Chadema 123, CCM 57.

  Kituo namba 3.


  Urais: Dk. Slaa 144, Kikwete 65

  Ubunge: Chadema 129, CCM 79

  Udiwani Kendo 148, Marunda 62.

  Kituo namba 4:

  Dk. Slaa 132, Kikwete 51.

  UBUNGE:
  Kisambu Chadema, CCM 71

  UDIWANI:
  Chadema 126, CCM 57.

  Kituo namba 5.

  URAIS
  Dk. Slaa 116, Kikwete 50

  UBUNGE
  Kisambu Chadema, CCM 72

  UDIWANI
  Chadema 113, CCM 55

  Kituo namba 6:
  URAIS
  Dk. Slaa 161, Kikwete 62.

  UBUNGE
  Chadema 87, CCM 79

  UDIWANI
  Chadema 101, CCM 65


  DODOMA

  Katika Jimbo la Dodoma Mjini.

  Kata ya Viwandani

  Kituo 1

  Urais: Kikwete 95, Dk. Slaa 59, Lipumba 6.

  Ubunge: CCM 101, Chadema 50, CUF 6.

  Kituo 2

  Urais: Kikwete 103, Slaa 55, Lipumba 3.

  Ubunge: CCM 105, Chadema 48, CUF 4.

  Kituo 3

  Urais: Kikwete 94, Slaa 55, Lipumba 6.

  Ubunge: CCM 93, Chadema 48, CUF 6.

  Kituo 4

  Urais: Kikwete 101, Slaa 49, CUF 5.

  Ubunge: CCM 105, Chadema 41, CUF 8.

  Kituo cha Uhindini 1

  Urais: Kikwete 62, Slaa 46, Lipumba 0.

  Ubunge: CCM 69, Chadema 33, CUF 5.

  Uhindini 2

  Urais: Kikwete 59, Slaa 45, Lipumba 0.

  Ubunge: CCM 60, Chadema 34, CUF 1.

  Makulu 1

  Urais: Kikwete 85, Slaa 70, Lipumba 1.

  Ubunge: CCM 74, Chadema 77, CUF 3.

  Udiwani: CCM 48, Chadema 110.


  Makulu 2

  Urais: Kikwete 89, Slaa 72, Lipumba 0.

  Ubunge: CCM 79, Chadema 81, CUF 1.

  Udiwani: CCM 51, Chadema 112.

  Mukala 1

  Urais: Kikwete 73, Slaa 70, Lipumba 1.

  Ubunge: CCM 52, Chadema 90, CUF 3.

  Udiwani: CCM 38, Chadema 107.


  Makalamo 2


  Urais: Kikwete 81, Slaa 86, Lipumba 0.

  Ubunge: CCM 60, Chadema 105, CUF 3.

  Udiwani: CCM 37, Chadema 130.

  Msangalale 1


  Urais: Kikwete 111, Slaa 60, Lipumba 1.

  Ubunge: CCM 93, Chadema 78, CUF 0.

  Udiwani: CCM 52, Chadema 121.

  NYERERE

  Urais: Kikwete 67, Slaa 55, Lipumba 3.

  Ubunge: CCM 70, Chadema 47, CUF 5.

  Udiwani: CCM 64, Chadema 58.

  POLISI ZAHANATI

  Urais: Kikwete 73, Slaa 58, Lipumba 3.

  Ubunge: CCM 77, Chadema 52, CUF 4.

  Udiwani: CCM 71, Chadema 62.

  OFISI YA WEO

  Urais: Kikwete 62, Slaa 55, Lipumba 0.

  Ubunge: CCM 70, Chadema 41, CUF 4.

  Udiwani: CCM 59, Chadema 54.

  Ofisi ya WEO 2

  Urais: Kikwete 69, Slaa 39, Lipumba 0.

  Ubunge: CCM 76, Chadema 29, CUF 1.

  Udiwani: CCM 66, Chadema 43.

  IRINGA

  IRINGA MJINI


  KIHESA

  Ubunge: Chadema 322, CCM 162

  STENDI KUU

  Ubunge: Chadema, 182, CCM 79

  MWEMBETOGWA

  Ubunge: Chadema 56 CCM 44.

  NHC

  Ubunge: Chadema 108 CCM 78.

  HAZINA

  Ubunge: Chadema 159, CCM 75.

  MGAMBO YA ZAMANI


  Ubunge: Chadema 72, CCM 74.

  DARAJANI

  Ubunge: Chadema 111, CCM 67.

  LDYDCP

  Ubunge: Chadema 162, CCM 113.

  TOWOGLO

  Ubunge: Chadema 196, CCM 144

  RUKWA

  SUMBAWANGA MJINI:

  Kituo cha Kantalamba A

  Urais: Slaa 110, Kikwete 57.

  KANTALAMBA B

  Urais: Slaa 112, Kikwete 53

  KANTALAMBA C

  Urais: Slaa 107, Kikwete 55

  KANTALAMBA D

  Urais: Slaa 58, Kikwete 114


  POLISI A

  Urais: Slaa 57, Kikwete 67.

  POLISI B

  Urais: Slaa 57, Kikwete 52

  MWENGE

  Urais: Slaa 61, Kikwete 97.


  KATANDALA A

  Urais: Slaa 88, Kikwete 83

  KATANDALA B

  Urais: Slaa 88, Kikwete 64

  KATANDALA C

  Urais: Slaa 77, Kikwete 85


  KATA YA MAZWI

  Urais: Slaa 51, Kikwete 108.


  DAR ES SALAAM


  SHULE YA MSINGI KIJITONYAMA


  Urais: Slaa 830, Kikwete 720.


  Ubunge: Chadema 651, CCM kura 546.

  Udiwani: Chadema 720, 611.


  Matokeo kata ya Goba jimbo la Ubungo
  Urais
  Kituo A
  CCM 106
  Chadema 61
  Cuf 8

  Kituo B
  CCM 90
  Chadema 70
  CUF 8

  Kituo C
  CCM 99
  Chadema 62
  Cuf 4

  Matokeo ya Ubunge
  kituo A
  CCM 69
  Chadema 85
  CUF 8

  Kituo B
  CCM 76
  Chadema 79
  CUF 10

  Kituo C
  CCM 82
  Chadema 84
  CUF 0

  Udiwani

  Kituo A

  CCM 74
  Chadema 84
  CUF 7

  Kituo B

  CCM 79
  Chadema 83
  CUF 8

  Kituo C
  CCM 85
  Chadema 67
  CUF 7

  Kawe Tangibovu

  Urais
  CCM 69
  Chadema 97
  CUF hakuna

  Kituo B
  CCM 60
  Chadema 100
  CUF 14

  Kituo C
  CCM 60
  Chadema 84
  CUF 20

  Kituo cha Makumbusho na Gereji Kikwete 948 Dk Slaa 517 na Lipumba 315


  MOSHI

  Katika Jimbo la Moshi Mjini, Kata ya Mawenzi; kura za mgombea urais CCM (407), Chadema (339); mgombea ubunge CCM (341), Chadema (400); mgombea udiwani CCM (395), na Chadema (341).

  Kata ya Karanga jimboni humo; kura za mgombea urais CCM (574), Chadema (813); mgombea ubunge CCM (226), Chadema (829); mgombea udiwani CCM (619), na Chadema (675).


  MBEYA  Kituo cha Mwenge A: Dk. Wilbrod Slaa wa Chadema kura (91), Jakaya Kikwete (55), Ubunge Benson Mpesya wa CCM (51) na Joseph Mbilinyi au Sugu wa Chadema (115).

  Mwenge B: Dk. Slaa (105), Kikwete (61), Ubunge Sugu wa Chadema (115) Mpesya wa CCM (51). Kituo cha Mwenge C: Urais Dk. Slaa kura 55, Kikwete kura 99, ubunge Sugu ana kura 120, Mpesya wa CCM ANA KURA 37

  Kituo cha Mwenge D: Urais Dk. Slaa ana kura 103, Kikwete wa CCM ana kura 53 wakati ubunge Sugu wa Chadema ana kura 123 na Mpesya wa CCM ana kura 33 na Mwenge E: rais Dk. Slaa ana kura 113, Kikwete wa CCM ana kura 48 na kwenye ubunge Sugu wa Chadema ana kura 130 wakati Mpesya wa CCM ana kura 33.

  Kituo cha Soweto A: Urais Kikwete ana kura 68, Dk Slaa wa Chadema ana kura 117 na kwenye ubunge Mpesya wa CCM ana kura 46 wakati Sugu wa Chadema ana kura 134.

  Kituo cha Soweto B: Urais Kikwete ana kura 56 na Dk Slaa wa Chadema ana kura 123 wakati kwenye ubunge Mpesya wa CCM ana kura 41 na Sugu wa Chadema ana kura 137.

  Kata ya Sisimba Urais Kikwete 79, Dk Slaa 75 na ngazi ya ubunge Sugu wa Chadema ana kura 102 wakati Mpesya wa CCM ana kura 43 na Price Mwaihojo wa CUF ana kura 02.

  "AMANI NDIO MPANGO MZIMA"
   
 2. K

  KICHAPO Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hongera mkuu kwa kazi hiyo endelea kutujuza yanayojili
   
 3. paty

  paty JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,251
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  asante mkubwa kwa update zako....be blessed
   
 4. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,816
  Likes Received: 10,106
  Trophy Points: 280
  Naamka kwa raaaaaahhhhhaaaa
   
 5. C

  Chamkoroma Senior Member

  #5
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 187
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ushindi ni LAZMA nimeota nionyeshwa majimbo mengi zaidi tumeshinda naamini Mungu anamakusudi sn, tutashinda tu.
  Endeleeni ndugu zetu mlio nyumbani kutujuza zaidi,
  Mbarikiwe na Bwana.
   
 6. M

  Msharika JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 936
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  maono yako ni kama yangu, na mungu unena na jamii si mtu mojammoja
   
 7. e

  ejogo JF-Expert Member

  #7
  Nov 1, 2010
  Joined: Dec 19, 2009
  Messages: 994
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  I c!
   
 8. Mo-TOWN

  Mo-TOWN JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,626
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  Amani ya kweli!
   
 9. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #9
  Nov 1, 2010
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  So far good nyuuuuuuuuuuuuuuzi!
   
 10. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #10
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Aksante!
   
 11. Mshirazi

  Mshirazi JF-Expert Member

  #11
  Nov 1, 2010
  Joined: Dec 8, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Muendelee hivi hivi hadi mwisho wa matokeo....
   
 12. Juaangavu

  Juaangavu JF-Expert Member

  #12
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 3, 2009
  Messages: 915
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Hii imetulia, inatia moyo
   
 13. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #13
  Nov 1, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Mwaka huu!!
   
 14. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #14
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Naona mambo si mabaya, so far so good!!!

  Tume itende haki tu... period
   
 15. M

  Mantaleka Senior Member

  #15
  Nov 1, 2010
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jana mchana kalinyesha kamvua hapa kwa mara ya kwanza na ishara ya mvua ni neema, moja kwa moja nikajua kuwa mungu muweza wa yote katushushia neema, ushindi ni kwa uma.
   
 16. C

  Cyrus Member

  #16
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Slaa lazima ashinde tu
   
 17. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #17
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Wenzako hawakulala kabisa
   
 18. Hero

  Hero JF-Expert Member

  #18
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 749
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 45
  big-up for promising news, apart from amani, Mpango mzima ni kuacha chaguo la watu li 'reign'!
   
Loading...