Slaa(chadema)vs slaa(ccm);hii ni coincidence au kamchezo ka ccm???

nyabhingi

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
15,500
19,962
Nimekuwa nikijiuliza kuhusu huyu meya wa ilala jerry slaa,..ni coincidence au ccm walimweka makusudi ili jina dr slaa lisionekane kuwa unique kwamba anapotajwa slaa watu wajiulize ni slaa yupi???na ukifatilia utaona huyu bwana anapewa media coverage ya nguvu.,,nyi mnaonaje??
 
Mi naona ni majina tuu yanafanana hakuna 'kamchezo hapo boss wangu.
Ofcoz ni maoni yangu tuu.
 
ni majina tu na huyo Meya haitwii Slaa anaitwa Slaha kama sikosei!
 
ni majina tu na huyo Meya haitwii Slaa anaitwa Slaha kama sikosei!

sometimes waandishi wanamistake au makusudi wanaandika jerry slaa..when it comes to ccm i get paranoid bcuz they r always up to no good
 
Rais halali wa JMT ni Dr. Wilbord Peter SLAA

Na huyu mey wa ilala nia Jerry Wiliam SILAA
 
Rais halali wa JMT ni Dr. Wilbord Peter SLAA

Na huyu mey wa ilala nia Jerry Wiliam SILAA

lakini na mimi huyu yanki nimeshamuona ktk harakati za udiwani wakati akiwa ukonga, kwa hiyo yupo lkn anaonekana smart smart.
 
Nimekuwa nikijiuliza kuhusu huyu meya wa ilala jerry slaa,..ni coincidence au ccm walimweka makusudi ili jina dr slaa lisionekane kuwa unique kwamba anapotajwa slaa watu wajiulize ni slaa yupi???na ukifatilia utaona huyu bwana anapewa media coverage ya nguvu.,,nyi mnaonaje??

Huyo diwana anaitwa SILAA na sio SLAA(THE PHD HOLDER)
 
Ni majina tu hana uhusiano wowote na mtu mzima Dr. Slaa! Yan unataka kusema CCM wanachakachua hadi Majina ya wanachama wao? Duuu! sasa wataacha nini tena hakijachakachuliwa bongo hii?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom