SLAA azuiwa kuhutubia! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SLAA azuiwa kuhutubia!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mtembezi, Oct 29, 2010.

 1. M

  Mtembezi Member

  #1
  Oct 29, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jAMANIN MI MTEMBEZI,Nipo matembezini nikifanya coverage ya uchaguzi.kama wengi mnavyojua jana Dr slaa alitakiwa kuhutubia katika viwanja vya mwembetogwa manispaa ya Iringa lkn hakufanya hivyo kutokana na kuchelewa kufika.Usiku akawasiliana na umma wa Iringa kupitia Radio country Fm kwa almost masaa matatu.
  Ilipofika mapema asubuhi,kama kawaida ya mtembezi nilidamkia katika viwanja vya mwembe togwa baada ya kupata taarifa kuwa mheshimiwa angehutubia katika uwanja huo.Nimepokewa na umati wa polisi nikahisi jambo! cause hata wananchi walikuwa hawajaanza kukusanyika.Baada ya muda napokea simu naulizwa kama nina taarifa za Dr slaa kuzuiwa kuhutubia.Nime dodosa hapa na pale naambiwa polisi wa ccm wamemzuia!kisa? SIYO RATIBA YAKE KUHUTUBIA ASUBUHI HII-nimejiuliza sana angekuwa kiongozi wa CCM ?kwa hivi sasa anajiandaa kupita mji huu kuelekea NJOMBE.
  brrrrreaking news..taarifa atafanya kikao cha ndani katika shule ya msingi mlandege dakika chache zijazo on his way to njombe.
   
 2. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Je ni kweli? kama ndio acheni kulialia...........
   
 3. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2010
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kanuni za uchaguzi na maadili ya uchaguzi yanampa mgombea urais kufanya mkutano popote pale isipokiuwa kama kuna mgombea urais aliye wahi kufika na inapotokea mgombea urais yupo kwenye jimbo husika basi kampeni za wabunge wenye ratiba kwenye eneo husika itasitishwa. Mgombea Urais hana ratiba popote atahutubia
   
 4. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Achana na hao kina Sokomoko -- mambumbumbu wa CCM -- zao la shule za kata wasiojua chochote isipokuwa kushabikia sura ya JK kwa upofu mkubwa.
   
 5. Avanti

  Avanti JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 1,209
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Haya bwana wewe uliye zao la shule za St. Inaonesha unaendekeza ubaguzi kwa sana wewe!
   
 6. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #6
  Oct 29, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  kapige kura
   
 7. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #7
  Oct 29, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  sokomoko ni CUF damu, sema si cuf na ccm ni mtu na mdogo!
   
 8. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #8
  Oct 29, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Si kasema kweli lakini? unategemea nini kwenye mazao ya shule za kata?
   
 9. Avanti

  Avanti JF-Expert Member

  #9
  Oct 29, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 1,209
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Rome was not built a day! Ni heri ya shule za kata kuliko kutokuwa nazo kabisa. Kama wewe ulibahatika kwenda St. Schools ukapata elimu ya sekondari basi mshukuru Mungu. Wengine hizo shule za kata ndiyo zimetufanya tuone wadogo zetu wakinusa hata kujua definitions za physics, biology, chemistry n.k. Hata kama hazipo effective zitakuwa. Kumbuka (excluding wewe uliyesoma St.s) wazazi wetu hata shule za msingi au middle schools walisoma zikiwa umbali mkubwa sana na walipokuwa wakiishi. Mtu alikuwa anatembea zaidi ya kilomita kumi kwa siku kwenda shule. Kwa sasa kuna unafuu, kinachotakiwa ni kuziimairsha hizzo shule zitoe elimu nzuri na sio kuzidharau kama inavyofanyika hapa.
   
 10. A

  August JF-Expert Member

  #10
  Oct 29, 2010
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,509
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  huko maswa chadema imezuiwa siku mbuli , haya iringa chadema yazuiwa tena lakini wananchi wanajiuliza kwanini chadema wafanyiwe hivi? chama cha kukipigia kura wameisha kijua iwepo kampeni isiwepo wao na maendeleo tu na si ufisudi.
  kilimanjaro bilal alihutubia nje ya ratiba, sasa hivi kuna jimbo ccm wameu je kampeni zao zimezuiwa. hata wafanye njama gani tutafika tu
   
 11. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #11
  Oct 29, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Nothing!...Ni misalaba tu hawa!
   
 12. Bado Niponipo

  Bado Niponipo JF-Expert Member

  #12
  Oct 29, 2010
  Joined: Aug 15, 2008
  Messages: 680
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Futa machozi...na nyamaza kulialia
   
 13. N

  Ngandema Bwila JF-Expert Member

  #13
  Oct 29, 2010
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 1,000
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  kwa hiyo wakijua definition? Think big Avanti.
   
 14. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #14
  Oct 29, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,373
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  Kuwa na demokrasia tz pana kazi.....
   
 15. birungi

  birungi JF-Expert Member

  #15
  Oct 29, 2010
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  hheeee basi kazi ipo.
   
 16. F

  Ferds JF-Expert Member

  #16
  Oct 29, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 1,267
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  jamni wote twajua kuwa sas hivi ni mda wa lala salama, tuache kudanganyana kuwa amezuiliwa lets call a sped a sped mda wake ulikuwa juzi hakuutumia kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wake basi aendelee mbele, watu mcpende hadi mkawa ngoswe kweni penzi likawa kitovu cha uzembe
   
 17. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #17
  Oct 29, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Pole. Mie nina umri wa miaka 59 leo. Guess nimesoma lini?

  Mie nimesoma shule za Kambarage bwana. Nimekula na kulala shule na nimepewa na warrant kwenda na kurudi toka shule.

  Wanangu wanasoma st. siwezi kuwapeleka shule hizo wanaziita huko kwetu Yeboyebo. You know why? we kama unapeleka wa kwako kwenye shule hizo wapeleke tu. Utavuna ulichopanda. Na kama wa kwako huwapeleki kwenye shule hizo please close your mouth.

  Shida yetu wadanganyika hatupendi kuambiwa ukweli kwa kuwa ukweli unatusumbua sana na kutuletea ugonjwa wa kutopewa sifa kuwa tumefanya vizuri. Ulevi wa sifa hewa ndio shida yenu.
   
 18. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #18
  Oct 29, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  nilisikiliza breaking news za wapo radio, nikasikia chiku abwao akilia kuwa mapolisi wamewapiga kwa mabom ya machozi, wamewatawanya uwanja wa mwembetogwa sasa wananchi wakakubali wakaenda kwenye mkutano wao wa kawaida wakati dr.slaa akiwa ameenda njombe, wao wakaenda kwenye mkutano kule mlandege sijui?...mapolisi wamewavurunda na chiku abwao akatokea akawaambia mapolisi wasiwaumize wananchi wamuue yeye kama wakitaka...ilikuwa fujo kimtindo fujo kali kabisa. bila shaka tutaona badaye kama watatoa news kwenye luninga..
   
Loading...