Slaa awawakia wasioridhishwa na mgawo wa Viti Maalum

Tatizo lako mwiba ukishakula kiti moto na kupata safari mbili tatu unaongea saana mapaka unaboa
 
Watu mara nyingi hawapendi kuambiwa ukweli, especially Wabongo

Sasa Mkuu udikteta uko wapi hapa? Nchi hii inamalizwa na mafisadi kwa sababu tu watu hawataki kusema ukweli.Chadema ni tofauti sana na ni tumaini jipya la watanzania.Chadema hakuna hisani na ndio maana yule mwenyekiti wa Bawacha alinyimwa viti maalum akakimbilia NCCR.Tatizo ni kwamba watu wanafikiri vyama vyote viko sawa kwa mfano CCM wanagawa viti maalum kwa hisani ya kujuana wakati CUF wanaangalia DINI yako.CHADEMA inatoa viti maalum kwa mtu aliyetimiza vigezo vya kitafiti na sio hivihivi.Pole sana mwiba!!!!!!!!!!
 
WEWE Mwiba sijaelewa ni mwiba gani

Kaa ukielewa kuwa chama hakiwezi kujengwa kwa kuwapa wanachama uongozi(kama chama fulani ambacho wewe ni mfuasi), siku usipowapa uongozi wanaondoka na kuua chama. Hivyo royal members ni wale ambao wapo chamani si tu kwa kutaka/kwa kuwa ni viongozi. Mchakato wa kupata viti maalumu chadema ulifafanuliwa kwa uwazi kabisa na kila mwenye masikio alisikia na mwenye akili na uwezo wa kuwaza na kuwazua mambo alielewa (isipokuwa wewe na wenzako).

Hivyo mtu anayehama chama kwa kuwa hajapata uongozi ni bora ahame akapate uongozi huko anakotaka yeye. Au unataka kila mtu awe mbunge wa kuteuliwa. Mwiba achana na CCM wanakupoteza
 
Hizo design za utawala anaoutaka Mwiba ndizo zimetufikisha hapa tulipo!!! Tungekuwa na viongozi makini kama Slaa siku nyingi sasa tungekuwa mbali mno. CCM wenyewe wanajilaumu kumpoteza Slaa kwa ajili ya ule msemo wao wa chama kina wenyewe na wenyewe ndiyo sisi. Na huo ulikuwa ni mpango wa Mungu wa kutukomboa waTZ kutokana na mkoloni CCM.
 
WEWE Mwiba sijaelewa ni mwiba gani

Kaa ukielewa kuwa chama hakiwezi kujengwa kwa kuwapa wanachama uongozi(kama chama fulani ambacho wewe ni mfuasi), siku usipowapa uongozi wanaondoka na kuua chama. Hivyo royal members ni wale ambao wapo chamani si tu kwa kutaka/kwa kuwa ni viongozi. Mchakato wa kupata viti maalumu chadema ulifafanuliwa kwa uwazi kabisa na kila mwenye masikio alisikia na mwenye akili na uwezo wa kuwaza na kuwazua alielewa.

Hivyo mtu anayehama chama kwa kuwa hajapata uongozi ni bora ahame akapate uongozi huko anakotaka yeye. Au unataka kila mtu awe mbunge wa kuteuliwa. Mwiba achana na CCM wanakupoteza


Nakubaliana na usemi wako.Mwache aendelee kuwa CCM si amesikia habari za wanaccm wa UDOM
 
If the intention was to destroy,come up with another one...this is clearly constructing.
 
Nijuavyo slaa si dictator ila hana ujanja kwa wale watu wa kaskazini. Ndesa ana mtoto na mkwe. mbowe kadhalika, hii inaleta taswira gani? kuwa kuna wenye chama na hao ndo waamuzi. slaa ni muajiriwa tu kama katubu wa kuwaandikia na kuyahifadhi yale wanayoyataka wenye chama. kwa hiyo mwiba wala usishughulishwe na slaa bali shughulishwa na wenye chama.
 
Just in case kama mtoa mada na Nipashe hawajui maana ya Dictator.

A dictator is a ruler (e.g. absolutist or autocratic) who assumes sole and absolute power (sometimes but not always with military control) but without hereditary ascension such as an absolute monarch.[1] When other states call the head of state of a particular state a dictator, that state is called a dictatorship.

MBONA MMESEMA MENGI NA KUKWEPESHA UKWELI DICTATOR NI MKWERE AMEFANYA MAPINDUZI YA KIJESHI ALIPINDUA KURA ZA SLAA(PhD) 64%, NA BADO CCM WANAENDELEA NA UDIKITETA KILA KONA YA NCHI HATA BALOZI WA NYUMBA KUMI, MEYA WOTE WANALAZIMISHA MPAKA WAO WAO TUUUUUUUUUUUUUUUUUU. BULLLLLLLL.....ST...HUYU MWIBA KWELI NI MTUMWA AU TUNAONGEA NA RWEYEMA AU JANUARY MAK---MANAKE WAPO HUMU NDANI KWA ID FEKI--TUTAWAPA FACTS MKICHOKOZA. DR SLAA IS THE LEADER MAN OF THE PEOPLE MAN OF PRINCIPLES
 
Maana ya udikteta (mie ndio rais wenu hata kama mkitoka lazima mtarudi........(jk ufunguzi wabunge 2010)
 
With no doubt dr slaa has potential to take this country far very far, anaweza kama kuna mtu anabisha akajinyonge maanake atakuwa hataki ukweli na atasumbuka kila siku. Ni slaa aliyetaja wezi mapapa wa nchi hii hadharani hata takukuru hawawezi alichofanya mpaka leo hawajamgusa, ni slaa aliyelipua richmondi kamuulize lowasa prevoius pm, ni slaa aliyelipua bot kamuluize balali kuzimu anawasubiri wenzie.

Ni Slaa aliyelipua epa kawaulize ccm ilivyokaa vibaya hii, ni slaa aliyesema kupunguza posho ya wabunge kamuulize sitta, ni slaa aliye sema anataka kubadili katiba ndani ya miezi sita kamuuliza pres. Jk, ni slaa aliyesema atafuta mikataba yote ya madini na kukubaliana upya akiwa rais kamuluize ngeleja na jk kama wanaweza hilo thubutu, ni slaa aliyesema elimu na afya bure watoto wale watano washinyanga wasingekufa, ni slaa aliyesema hataki kuona nyumba ya tembe kamuulize tibaijuka kama ipo kwenye paln yake hiyo.

Ni slaa for good for tanzania only him and chadema he is a man
 
Let us be frank mheshimiwa dr, tatizo sio mbeya kukosa viti, Tatizo hivyo viti havikuwa fairly distributed. Inawezekanaje kata mbili za kilimanjaro mbaya zaidi ukoo mmoja upate viti maradufu kuliko mkoa? Sikutarajii hili ulione usije ukaweka your own political career inline? You are handicapped!
 
wana haki ya kuhoji na wamepewa majibu sasa hivyo dhana ya udikteta haipo kwani ametoa sababu , endapo angewataka wanyamaze wasihoji huo mngeuhita nini embu tujadilini mambo kwa mantiki
 
Huyo aliyeleta mada hii hana uelewa sahihi maana ya uimla.
Viti maalumu havitolewi kwa misingi ya kukirimia fulani au ujuani, bali uwakilishi wa makundi yaliyokusudiwa.
Hali kadhalika uwakilishi si maana ya mradi kuingia bungeni, bali mwenye uwezo wa kuwawakilisha wahusika.
Vinginevyo anavyofikiria aliyeleta mada hii tuige uccm mtindo wa kujuana ama sivyo?
 
"Basi wakuu wa makuhani na baraza yote wakatafuta ushuhuda wa uongo juu ya Yesu, wapate kumwua; wasiuone ingawa walitokea mashahidi wa uongo wengi" Mathayo 26:59-60

Kuna watu hawachafuliwi. Ukitaka kuwachafua ni bora uwasifie! Na kama huwezi vyote, nibora ujiue! Watu wakija kwenye msiba wako wakajua kuwa umejinyonga kwa sababu ya mtu fulani, walao ndg zako wataanza kumwonambaya.. Bw/Bi Mwiba, je, utafanya lipi kati ya hayo? Pole lakini.
 
with no doubt dr slaa has potential to take this country far very far, anaweza kama kuna mtu anabisha akajinyonge maanake atakuwa hataki ukweli na atasumbuka kila siku. Ni slaa aliyetaja wezi mapapa wa nchi hii hadharani hata takukuru hawawezi alichofanya mpaka leo hawajamgusa, ni slaa aliyelipua richmondi kamuulize lowasa prevoius pm, ni slaa aliyelipua bot kamuluize balali kuzimu anawasubiri wenzie, ni slaa aliyelipua epa kawaulize ccm ilivyokaa vibaya hii, ni slaa aliyesema kupunguza posho ya wabunge kamuulize sitta, ni slaa aliye sema anataka kubadili katiba ndani ya miezi sita kamuuliza pres. Jk, ni slaa aliyesema atafuta mikataba yote ya madini na kukubaliana upya akiwa rais kamuluize ngeleja na jk kama wanaweza hilo thubutu, ni slaa aliyesema elimu na afya bure watoto wale watano washinyanga wasingekufa, ni slaa aliyesema hataki kuona nyumba ya tembe kamuulize tibaijuka kama ipo kwenye paln yake hiyo,ni slaa for good for tanzania only him and chadema he is a man


nimekugongea big thanks, u r a patriot, huu ndio ukweli, hata CCM wame copy & paste Dr. Slaa plans za maendeleo kibao kila mtu anajua, :israel: pure & simple
 
Ukanda na kujuana hata mkiufichaje na hata muukinge kwa nguvu ya matusi na kejeli bado hali hiyo imejipambanua kama nyenzo muhimu ya ugawaji nafasi hizo
wenye akili na wajue
 
Afadhali mara mia udikteta wa kiukweli na kimaendeleo kuliko Ufisadi na Usaniii.
 
unatukana halafu unasema acha matusi... ukitukanwa wewe mbio na filimbi

watu wengine bana kwenye shule tuliambiwa wanaitwa imbecile... yani huyo ni afadhali akili ya mende

Wakuu Acid, Masa na wengine
inalazimu kukumbuka masuala ya 'frustrated macrophages'
ndiyo tunayoshudia hapa sasa!
 
Back
Top Bottom