Elections 2010 Slaa Atafanya nini baada ya kuapishwa JK?

Kabla ya kufikiria hayo, jaribu kufikiri hatua ayoifikisha TANZANIA, namaanisha awareness of what is going on in our country,Hongera sana Dr Slaa.
 
Nakusikitikia sana Sijui ni Mr/Maddam Kishongo kwa mada yako uliyoweka hapa! Kwa kweli nimejaribu kuitafakari nikujibu nini nmekosa jibu! Tafadhali tafuta mada nyingeni uje nayo hapa. Kwa kifupi tu Dr.Slaa ni katibu wa Chama cha Chadema na ndio wathifa alio nao na ataendelea kuwa nao! Karibu sana!
 
Makamba sio mbunge, yeye anafanya nini? Au anaviwinda vitoto vya shule avichakachue?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom