Elections 2010 Slaa Atafanya nini baada ya kuapishwa JK?

Kishongo

JF-Expert Member
May 4, 2010
932
64
Tutamkosa bungeni manake amegombea urais na kufanikiwa kuongeza idadi ya wabunge wa chama.

Swali ni je,atakuwa buisy akifanya nini?

1. Kutafuta mabomu na kuwapatia Lissu na Mnyika wayalipue bungeni?
2. Atamsaidia aliyetarjaiwa kuwa first lady kuendeleza NGO yake?
3. Atarudi church?
4. Atasubiri mbunge aenguliwe na mahakama au afariki (Mungu aepushie mbali) ili agombee?
5. Atarudi kulima vitunguu Karatu?

Tafadhali tujadili ,,, bila matusi.
 
Hayatuhusu!!!!! hayakuhusu,yeye ni mtu mzima!!!!! kwani Lipumba alikuwa anafanya nini??? au Mbowe alipokosa 2005 alikuwa anafanya nini????
 
bwana kishongo jiulize atafanya nini JK baada yakuapishwa Slaa?
ukipata jibu bus the reverse is true.
 
Mambo binafsi ya watu yanakuhusu nini? wewe mtoto wa kiume tukufunge kangha? Atauzunika kwa walala hoi kuendelea kulipa hada kwenye shule ambazo z=azina walimu na wengine ni voda faster. Wafanyakazi(a.k.a mbayuwayu, watammiss)
 
Dwight

Kweli junior members utawajua. Umeanza na kuwakejeli wenye akili zao? Wewe bado umeandikwa kwa chaki, hatuhitaji moderator kukutoa. Slaa ana mambo mengi ya kufanya.

Ataendelea kuwaelimisha mbumbu mbumbu kama wewe nje ya bunge. 'Kuukosa ulaji' ni lugha za Ki-CCM enzi za baada ya Mwalimu Nyerere. Ikulu ni mateso, Mwalimu alisema.
 
Swali lako ni la kitoto lakini kwa sababu ya demokrasia ruksa ... wewe unadhani atafanya nini ???

Popote tulipo katka dunia hii macho yetu tunayatega nyumbani nimeshangazwa lakini nilijua kuwa kuna siku mwenge utawaka huku ulaya mimi na wenzangu tumefarijika... its always ma wish na ninajua ipo siku sala kamili itatimia .. sijuwi hata niseme nini upinzani hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee... mungu wabariki wazalendo wa kweli.. tanzania
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom