Slaa anaamini katika nini? Kipenzi mbeba maono, msaliti wa umma au maslahi binafsi?

Je ni Nani huyu Slaa?

  • Mbeba Maono

    Votes: 6 11.1%
  • Msaliti wa Umma

    Votes: 9 16.7%
  • Opportunist/Maslahi Binafisi

    Votes: 39 72.2%

  • Total voters
    54
  • Poll closed .
Napata taabu kuelewa naomba msaada wenu, kuuliza si ujinga wakuu.

Hivi Slaa (Dr.) anaamini juu ya sera na itikadi gani? Maana alipokuwa CDM aliwasasha moto mkubwa kwa CCM, tena moto mkubwa haswaaaa. Aligombea Urais 2010 kupitia CDM hii ikimanisha haikuikubali CCM, Sera zake na itikadi yake, pia au hakumkubali JK.

Kwa vile 2015 alijiondoka chamani ilionesha pia hakumkubali EL, ni ni kweli alimtaja sana kama fisadi mkubwa na mtu asiyefaa.

Sasa yuko CCM alipo JK na EL kwa pamoja, pia kwenye sera na itikaidi ileile, contradiction!!!! am getting confused yaani CCM Enzi zile za 2005, 2010 hadi 2015 October alikuwa anapigania nini? na sasa anapigania nini?

Alihama CDM kwa vile EL aliingia CDM, yaani muda wote anapambana akiwa upinzani alipambana juu ya mtu? sio sera na itikadi? ila Slaa huyo huyo hahami CCM kwa EL kurejea CCM, nini kinamshikiria huko ambacho kilikosekana wakati EL anahamia CDM ili kumshikilia?

Namweshimu kwanza kama Padri pia mtu ambaye alichagiza mabadiliko ya sera kwa sura ya dhati, je heshima hii ni bubble balloon? Is he fake in out? why or why not? huyu jamaa anaamini nini kuhusu soasa za TZ?

Je huyu jamaa Slaa anawakilisha wanasiasa wengi TZ ama ni special case? Tunawaambia nini vijana wadogo wambao walishawishika na sera zake ambazo sasa nashindwa kuelewa ni aina ipi? ama ni chuki na watu ama mtu wala sio sera? au ni mapenzi na mtu wala sio sera na itikadi?

Nawasilisha, I just want to have insights of what this man is in terms of political understanding and his stand.
Huyo padri mzinzi anamuwakilisha Josephine Mushumbuzi na tumbo lake tu!
 
Ni muhimu ikumbukwe kwamba awali Slaa alikuwa kada wa CCM na alishiriki mchakato wa kuteuliwa na chama chake kugombea ubunge katika jimbo la Karatu mwaka 1995 na akashinda kura za maoni.

Hata hivyo chama chake "kilimkata" na hapo ndipo alipohamia Chadema na kugombea ubunge na kushinda.

Mwaka 2010 Slaa alipoteuliwa na Chadema kugombea urais, alitoa masharti kwamba ili akubali huo uteuzi ni sharti, akiwa katibu mkuu, alipwe mshahara na marupurupu sawa na mbunge endapo asingeshinda urais. Chadema wakaridhia.

Hivyo, kushiriki siasa kwa Slaa, kama walivyo wanasiasa wengine wa Kiafrika, ni zaidi ya kuwa na msukumo wa sera na imani za kiitikadi.
 
so maslahi kwanza au sera na itikadi kwanza?

Nadhani alitoa message kwa watawala wake pia aliposema kuwa tourists 100 walivunja safari in protest ya human rights abuses kwa kusikia watu au mtu akilalamika. That was a strong message to our leaders!
 
Siasa nayo inakwenda kwa mazingira, huwezi linganisha mazingira ya siasa ya kipindi cha jk.. ccm ilikuwa na makando flani, sasa mazingira ya siasa ya kipindi hiki cha Rais huyu tunaye, yapo wazi sanaa kiasi kwamba Huyo unayemsema yaani Dr Slaa,ameyaelewa kwa undani zaidi kuliko hata wewee.. ni nani mwanasiasa aliyekomaa kisaisa,ambaye alikuwa hajui ccm ya mpito ilikuwajee..ambayo ilipelekea baadhi ya wanachama kukimbiaa chama, lakini Leo hii kazi inaonekana.na si Slaa tu hata wewee unaona .watu wamekaza but.
 
Niliwaza sana juu ya hali hiyo nikaona niwaulize watadi wenye maujuzi humu, yaani akili inagota kama huyu anaakili au sie hatuna? ALL that time fighting a person not sera and itikadi, then all the sudden hata fight against that person dies just like that, yaani nini kumeua fighting hiyo au ni akili kweli kutosimamia sera na itikadi ukasimamia chuki ama mapenzi na mtu, huku ukidanganya nchi na taifa kwamba you are for real. What should our Presidaaa learn from such situation? or from him and his wild unthinkable behaviors

Time is always the best teacher. Soma kitabu chake nyuma ya Pazia.
Then msubiri 2020
 
Je kama hakuna sera na itikadi, siasa za tz ni kuvizia fursa tu hakuna mlengo thabiti?
 
hapo unasema ni maslahi binafsi sio sera wa itikadi?

Back
Top Bottom