Slaa anaamini katika nini? Kipenzi mbeba maono, msaliti wa umma au maslahi binafsi?

Je ni Nani huyu Slaa?

  • Mbeba Maono

    Votes: 6 11.1%
  • Msaliti wa Umma

    Votes: 9 16.7%
  • Opportunist/Maslahi Binafisi

    Votes: 39 72.2%

  • Total voters
    54
  • Poll closed .
Katibu mkuu wa Chama kikuu Cha Upinzani ni cheo kikubwa sana si kwa Tanzania tu bali nchi nyingi Duniani. Tena Dr Slaa alienda hadi kuua kuwa Mgombea Uraisi na kupata % si haba.

Sasa unapo kuja kuwa chini ya Waziri na usha wahi kuwa kiongozi wa kitaifa hii ni Demotion ila watu tunaweza ona kapanda ila hii ni kushuka thamani.

Ni sawa ja Marehemu Samweli Sita alivyo toka kuwa Spika wa Bunge na kwenda kuwa Waziri wa Africa Mashariki. Usipika ni Cheo kikubwa kabisa kabisa sasa tena kuja kuwa Waziri ni kujishusha kwa kiwango cha kutisha.

Mifano iko Mingi sana ila shida inabakia ni NJAAA hakuna uzalendo wala Mjomba wake na uzalendo ni NJAAA hata ningejuwa mimi ningeshuka tu kwa sababu ya NJAAA tu.

Ila Isingekuwa NJAA Dr Mihogo hakupaswa kuwa Balozi na kuja kuwajibika kwa Waziri
 
Wewe Dr slaa yuko scandinavia kule anakula bata balaa si unaona amekua kijana kule anasimamia nchi kama tisa hivi yani fulu kusafiri na kujionea ma vivutio dizanini kama yuko vacation amestaafu kwa ufahari kuliko angebaki ufipa pale ofisi kama ka stoo na fastration kibao. ACHA mzee wawatu afaidi uzee wake
 
Napata taabu kuelewa naomba msaada wenu, kuuliza si ujinga wakuu.

Hivi Slaa (Dr.) anaamini juu ya sera na itikadi gani? Maana alipokuwa CDM aliwasasha moto mkubwa kwa CCM, tena moto mkubwa haswaaaa. Aligombea Urais 2010 kupitia CDM hii ikimanisha haikuikubali CCM, Sera zake na itikadi yake, pia au hakumkubali JK.

Kwa vile 2015 alijiondoka chamani ilionesha pia hakumkubali EL, ni ni kweli alimtaja sana kama fisadi mkubwa na mtu asiyefaa.

Sasa yuko CCM alipo JK na EL kwa pamoja, pia kwenye sera na itikaidi ileile, contradiction!!!! am getting confused yaani CCM Enzi zile za 2005, 2010 hadi 2015 October alikuwa anapigania nini? na sasa anapigania nini?

Alihama CDM kwa vile EL aliingia CDM, yaani muda wote anapambana akiwa upinzani alipambana juu ya mtu? sio sera na itikadi? ila Slaa huyo huyo hahami CCM kwa EL kurejea CCM, nini kinamshikiria huko ambacho kilikosekana wakati EL anahamia CDM ili kumshikilia?

Namweshimu kwanza kama Padri pia mtu ambaye alichagiza mabadiliko ya sera kwa sura ya dhati, je heshima hii ni bubble balloon? Is he fake in out? why or why not? huyu jamaa anaamini nini kuhusu soasa za TZ?

Je huyu jamaa Slaa anawakilisha wanasiasa wengi TZ ama ni special case? Tunawaambia nini vijana wadogo wambao walishawishika na sera zake ambazo sasa nashindwa kuelewa ni aina ipi? ama ni chuki na watu ama mtu wala sio sera? au ni mapenzi na mtu wala sio sera na itikadi?

Nawasilisha, I just want to have insights of what this man is in terms of political understanding and his stand.

Katibu mkuu wa chama kipi? Angalia na chama chenyewe. UDP? DP? CUF? TLP? CHADEMA? CCM? etc.
Unakuwa katibu mkuu wa chama, makao makuu Buguruni au Lumumba, au Ufipa unajilinganisha na mtu aliyeko 1st world? Mtu anayeishi kwenye highest life quality! Be serious!

Kuna kitu tunaita quality of life!
 
Alijisaliti mwenyewe kwa upumbavu wake.

K ile ina elements za utamu usio wa kawa! Ila hapa hajajisaliti hata tone. The mwanzo justified that mwisho .... ramani ilikolezwa na mdau mwingine kujiunga na CHADEMA. Sio ishu ya mafahali mbili boma moja. Wala! Ilibidi ramani ibadilishwe kwa kuhamisha kete. Wadanganywa mpo?

(From a certified cuckoo's head)
 
kazi ni kubwa kuliko watenda kazi

Mungu atawatia nguvu wapambane tena kwa maisha yao, sio kumtegemea mzee slaa
Kuhusu ufisadi na mafisadi msimamo wangu bado ule ule sishirikiani nao, Slaa alituambia Lowassa ni fisadi nikamwamini leo mwenzetu anakunywa naye mvinyo, mimi niko nje ya tent nawatizama. Lol.
 
kila mtu anafaida kwa namna yake, swali ni je unafaidi kihalali au kwa gharama ya watanzania?

Wewe Dr slaa yuko scandinavia kule anakula bata balaa si unaona amekua kijana kule anasimamia nchi kama tisa hivi yani fulu kusafiri na kujionea ma vivutio dizanini kama yuko vacation amestaafu kwa ufahari kuliko angebaki ufipa pale ofisi kama ka stoo na fastration kibao. ACHA mzee wawatu afaidi uzee wake
 
Eye opener, thanks

Katibu mkuu wa Chama kikuu Cha Upinzani ni cheo kikubwa sana si kwa Tanzania tu bali nchi nyingi Duniani. Tena Dr Slaa alienda hadi kuua kuwa Mgombea Uraisi na kupata % si haba.

Sasa unapo kuja kuwa chini ya Waziri na usha wahi kuwa kiongozi wa kitaifa hii ni Demotion ila watu tunaweza ona kapanda ila hii ni kushuka thamani.

Ni sawa ja Marehemu Samweli Sita alivyo toka kuwa Spika wa Bunge na kwenda kuwa Waziri wa Africa Mashariki. Usipika ni Cheo kikubwa kabisa kabisa sasa tena kuja kuwa Waziri ni kujishusha kwa kiwango cha kutisha.

Mifano iko Mingi sana ila shida inabakia ni NJAAA hakuna uzalendo wala Mjomba wake na uzalendo ni NJAAA hata ningejuwa mimi ningeshuka tu kwa sababu ya NJAAA tu.

Ila Isingekuwa NJAA Dr Mihogo hakupaswa kuwa Balozi na kuja kuwajibika kwa Waziri
 
So the principle has moved to voice for opportunity not for the voiceless?

Dr. Slaa kashakula matapishi kwa kukubali appointment ya serikali ya CCM aliyoishutumu sana.

Ningemuona ngangali kama angekataa ubalozi.

Sasa kukataa kula matapishi kwa mtu mmoja halafu kula matapishi kwa mfumo mzima ni ujinga.

Na Slaa si mjinga.

Ina maana kuna zaidi ya matapishi hapa, kuna suala la maslahi.
 
We keep digging big holes in width height and length for ourselves and blame the westerners for our failed generations, is slaa not one of the best digger of the holes of our times?
 
Dr Slaa alifikia uamuzi huo wa kujiuzulu na kuondoka kwenye chama kwani siku zote chama hicho kilikuwa kwenye vita dhidi ya mafisadi lakini chama kikageuka, hiyo ni sawa na ‘choo kuhamia chumbani’

Sasa cha kujiuliza tu je choo alichokikimbia chumbani kipo wapi leo?
 
He is soon retiring and peharps looking for retirement benefit because the old age is catching up with him.
 
22 Reactions
Reply
Back
Top Bottom