Slaa amuuliza Lowassa Monduli; Mamilioni yalienda wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Slaa amuuliza Lowassa Monduli; Mamilioni yalienda wapi?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Msharika, Oct 24, 2010.

 1. M

  Msharika JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 936
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mwana mapinduzi wilbroad silaa ameuliza kwenye mkutano wake monduli fedha zote zenye dosari zimekuwa zinanyamaziwa na almashauri ya monduli, na nyingine ni za bwnki ya dunia. Nyumba ya mwalimu ilijengwa na tanapa ila imeonyeshwa alimashauri kutumia milioni 30. Pili aliuliza mamilioni ya African development bank zilizotolewa kwa maendeleo ya wafugaji. Usijali tuliuzunika pampja, tukalia pamoja na tutashinda pamoja.

  source: Home
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,522
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  hapa hela ililiwa wakuu, ngoja Slaa achukue uskani
   
 3. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #3
  Oct 24, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,004
  Likes Received: 586
  Trophy Points: 280
  Labda atawajibu
   

  Attached Files:

 4. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #4
  Aug 10, 2015
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  napitatuuuu
   
 5. mswele

  mswele JF-Expert Member

  #5
  Aug 10, 2015
  Joined: Dec 18, 2014
  Messages: 552
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 45
  pengine ndo zinatumika sasa
   
Loading...