Tangawizi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 5,171
- 3,893
Kweli kabisa jeshi letu litafutiwe kazi huko Somalia limekuwa jeshi la kula bure kulala bure, leo linatafuta visingizio visivyo na maana ili lianze kukimbizana na wananchi wake mitaa ya kariakoo lionekane linafanya kazi.
Yule Gen aliyetamka yale is short sized and sighted. What do you expect from him? Anafikiri kushika bunduki ndio kitu kikubwa kuliko chochote duniani kwahiyo washika bundiki wawe wanaabudiwa. Sishangai kuona Afrika imejaa vurugu kila upande. Kama wanajeshi wenyewe ndio hao wanaowachokoza wananchi, nini chema tutarajie kutoka kwao