Elections 2010 Slaa amtaka Shimbo kueleza zilikokwenda sh bil 155 za Meremeta

Akitaka kupinduliwa aanze hizo ngebe za kufanya mizaha na jeshi. Mimi nafikiri, siku Dr. Slaa akiingia madarakani akae nao aone ni namna gani wanaweza kufanya naye kazi bila vikwazo. Lakini akiingia na kutaka kuanza kuwadodosa juu ya wanayofanya au waliyofanya ilahali wao wenyewe ndiyo wanaomlinda, wala hawatamwacha.

Woga ndio unaofanya watanzania wanaendelea kuwa maskini kwa kushindwa kutetea rasilmali zao. Mapinduzi ya kijeshi ni utaratibu wa kizamani ulipitwa na wakati, na utaiweka Tanzania inayoishi kwa kutegemea misaada katika hali ya hoi bin taabani. Vile vile katika muundo wa jeshi la Tanzania uliojengwa na Nyerere, ni vigumu sana kwa mnadhimu wa jeshi kuendesha mapinduzi labda kama jambo hilo linakubaliwa na makamanda wa divisheni zote pia. Ni muhimu makamanda wa jeshi letu watambue tena kuwa wao ni jeshi la ulinzi wa nchi; kazi yao ni kupigana vita iwapo nchi yetu inavamiwa na nchi nyingine. JWTZ siyo jeshi la kulinda usalama wa raia na kukamata wahalifu; hiyo ni kazi ya polisi.
 
Issue ni kwamba JWTZ walikuwa wapi 2000 wakati pemba inamwagika damu? Why now? Majeshi yetu nayo yameingia mkumbo wa Ufisadi wa hali ya juu. JKT na ile barabara ya Bagamoyo-Mseta. TWTZ na Rada amabayo haifanyi kazi!
 
Shimbo anajua akiingia Slaa Ikulu Jela inamnukia, anawayawaya.

Hivyo kwa akili yako nani atakayempa slaa Ikulu?!Ama kweli imeandikwa katika biblia 'Usimpe mbwa kilicho kitakatifu' kazi kwako kwa kutafasiri hayo maneno ya biblia au uikane biblia!
 
Lt Gen Shimbo ni mteule wa JK sio wa Rais. Atafanya kila lililo ndani ya uwezo wake kuhakikisha JK anabaki madarakani. Lt Gen Shimbo hakustahili kuwa CoS wa jeshi letu. Ni hii sera isiyo rasmi ya CCM na JK wake ya kupanga safu za uongozi wa Nchi na vyombo vyake Kikristo na Kiislamu.

100% correct - even JK will press "Thanks" button for this useful post
 
mfumo wa jwtz (jeshi la wakur.y.a tangu zamani) au mfumo wa jeshi lipi?

msemaji wa jeshi (lenye ukubwa kama letu hapa tanzania or anywhere in africa except rsa) hawezi kuwa na "rank" zaidi ya lt. Col (!)::::
duh?kweli enock kapata baba.
 
Issue ya meremeta ni ya kisiasa zaidi!!! Inasemekana eti jeshi linatajwa kuhusika ili iwe cover-up au kiwingu kwa raia wa kawaida kutouliza maswali juu ya 'VINAVYOMEREMETA' kwa kisingizio kuwa inahusu usalama wa taifa. Ukweli ni kuwa wahusika na wanufaika wakuu ni wanasiasa na baadhi ya maafisa waandamizi wa BOT
 
Hivi hawa polisi na mazoezi yote haya bado 'Mnazi' mkuu wa JWTZ anaona ni bure?

Attachments

  • Photo stories.docx
    87.9 KB · Views: 40
Polisi ni wafanyakazi ambao walikua denied their right na huyu muungwana, so kuna mashaka wanaweza kukataa kumuunga mkono hapo oct 31.
 
Shimbo cheo chako ni kikubwa sana tena Zaidi ya Mheshimiwa nakumbuka wakati nipo JKT pale Mafinga siku moja Mkuu wa kikosi wakati ule alikuwa Sr KANARI Mlay aliwahi kusema najivunia Cheo changu hakipigiwi kura,maana yake ni kuwa kama nawewe unapenda siku moja kuitwa Mheshimiwa vua magwanda Panda jukwaani Mwaga sela zako utapigiwa kura na kuitwa Mheshimiwa Shimbo na siyo Jeshini wewe kwa sasa ni afande tuuuuu na utapiga saruti kwa Rais yoyote hata akiwa Dr SLAA.
 
Hayo ndo huwa tunasema ni kiherehere chake!

Tena huyu shimbo anatakiwa ajue kwamba tofauti na yeye ambaye ccm kwake ni kama dini aliyofundishwa enzi za siasa za chama jeshini. vijana wengi jeshini wanaiona ccm kama genge la wanyang'anyi.
Halafu shimbo ameacha kuelezea ni kwanini vikundi vidogo vya maharamia wa kisomali vinamudu kuingia ktk maji ya Tanzania wakati JWTZ ipo anakuja kudandia gari la polisi. Tena mwamunyange alitakiwa alishughulikie hili swala maana shimbo amelidhalilisha mno JWTZ.
 
Issue ni kwamba JWTZ walikuwa wapi 2000 wakati pemba inamwagika damu? Why now? Majeshi yetu nayo yameingia mkumbo wa Ufisadi wa hali ya juu. JKT na ile barabara ya Bagamoyo-Mseta. TWTZ na Rada amabayo haifanyi kazi!

Bysel,

Yeliyotokea Pembana Unguja ni matokeo ya utamaduni wa kunyamaza kimya wakati wanasiasa hovyohovyo wakiaandaa mazingira ya vurugu na umwagaji damu....

Naamini wamejifunza kutokana na maafa ama mauaji yale.....
 
Naona umeanza kufanya assumption sasa na unafanya kazi yako vyema kuisemea serikali humu. nakupa kudos.
Ila una uhakika kwamba milipuko yote ya bungeni chanzo chake ni JF? kama ndivyo basi JF imefanya kazi kubwa ya kizalendo kuweka data za ukweli na uhakika ambazo zimetumika kuiletea heshima serikali.
Amen

Kaka hakuna niliposema milipuko yote lakini wewe na mimi tunajua ukweli wa baadhi ya mabomu...lakini pia ni mara ngapi kitu kinaanza jamii forum kama hili la Ridhwan halafu kesho Dr Slaa anaibuka nalo hadharani.....bila hata kufanya analysis ama vetting ya uhakika wa habari ama source yake???/ Wewe na mimi tunajua hilo...
 
Jamani si nyie ndio mlikokuwa mkilalamika kwanini Kampuni ya NYUMBU haitumiki kusaidia maendeleo ya taifa. Sasa wakijihusisha katika kutengeneza ama kuwezesha mradi kama huu ambao unamsaidia mtanzania mnayedai kumpigania inakuwa kosa tena????

Kwani Nyumbu wanatengeneza Power Tilers?.....kilimo na jeshi wapi na wapi?....JEETU+MWINYI(PERE)+MWINYI(FILS)=KILIMO KWANZA
 
Kwa yeye SHIMBO kuja mbele kutoa maneno ambayo yana tafsiri ya VITISHO ndo imetufanya tuzame ndani zaidi kumchambua. Ila naona wewe unasisitiza tutaje madhaifu yake mengine. naamnini kama kuna mwenye maishu yake atayamwaga hapa ila kwa sasa tunajadili usafi wake mbele ya umma na nafasi yake kama kioo. Kama anatajwa katika maskandali fulani fulani basi anapaswa sana kuwa mwerevu kwa kila hatua anayopiga.

Kuhusu jeshi letu. Mimi kwa mtazamo wangu naona hawa makamanda wetu wanapaswa kubalidika liwe jeshi la uwekezaji zaidi ya kusubiri amri. Wawekeze kwenye sayansi na teknolojia, uchumi na tafiti za kilimo ili tujue tunalindwa nyanja zote. najua wewe umeshapitiapitia FACEBOOK, unajua imewekezwa na nani? Wakubali kuajiri wataalam ambao watakuwa na tija kwa jeshi na taifa na sio kuajiri elimuless kama inavyofanya sasa. Let our army procure first class employees. Hapo ndipo inapokuja suala la kuibadilisha serikali iliyopo sasa maana wamewekeza kwenye siasa ndo maana viongozi wetu wengi ni wanajeshi watsaafu.

Si ndio wameaanza na hili la power tillers kaka...wanachukua parts muhimu na teknolojia yake hala wanachakachua kukidhi hali na mahitaji ya nchi yetu/wakulima wetu..

Kuhusu kuajiri ama kutoajiri wataalamu hilo kaka kwa enzi hizi ni myth tiu ya wale ambao hawataki kuchukua hatua za kujua hali halisi ya vyombo vyetu na kuviona kama vyombo adui.. Ukiondoa NGOs, jeshi sasa ni sekta ambayo inaajiri wataalamu wengi na graduates mahiri kitaaluma na zaidi kinidhamu. Kwa hili ni wajibu wetu kutambua uongozi wa Waitara na Mwamunyange ambao nao ni wasomi na zaidi wanathamini usomi.

Lakini pia kuna mipango mingi tu ambayo inaendelea ikiwemo ya ujenzi wa chuo kikuu cha jehi kitakachojishughulisha na strategic and technological aspects za kijeshi ambazo zitakuza capacity ya usomi wa jeshi letu kwa wale waliokuwepo na watakaojiunga hapo mbeleni. Huo ni ukweli ambao unahitaji juhudi ndogo sana kuweza kuujua na kuutambua....

Jeshi letu, haswa katika ngazi ya maofisa sio la vilaza kama ambavyo tumezoea kuamini hivyo. Nimekaa darasani na mabarazani na best brains ambazo zimetoka jeshini na wanatumika vilivyo.

Na wanasiasa na wapiga debe wao ni kwa faida yao kutambua hilo na kujua jinsi gani wanavyowa-engage kwa faida yao na kwa faida ya Taifa...

Salaam
 
Kaka hakuna niliposema milipuko yote lakini wewe na mimi tunajua ukweli wa baadhi ya mabomu...lakini pia ni mara ngapi kitu kinaanza jamii forum kama hili la Ridhwan halafu kesho Dr Slaa anaibuka nalo hadharani.....bila hata kufanya analysis ama vetting ya uhakika wa habari ama source yake???/ Wewe na mimi tunajua hilo...
Mbona unasisitiza sana wewe na Mimi? Hebu nieleze yooote uyajuayo na mimi nitakueleza ninayoyafahamu yooote. tuone kama tunafanana ktk uelewa.
naona unaogopa reactions za humu maana zinaweza kutumika kumweka mtu msambweni eeeh?!!!
Ila nasisitiza kuwa JF imefanikiwa kuwa blog ya kizalendo zaidi kuliko taasisi zetu nyingi za serikali na binafsi
 
Inategemea na dhana ipi ya uzalendo unayoiongelea...........Hata Rostam anaamini kuwa ni Mzalendo and so is Chenge...
 
Si ndio wameaanza na hili la power tillers kaka...wanachukua parts muhimu na teknolojia yake hala wanachakachua kukidhi hali na mahitaji ya nchi yetu/wakulima wetu..

Kuhusu kuajiri ama kutoajiri wataalamu hilo kaka kwa enzi hizi ni myth tiu ya wale ambao hawataki kuchukua hatua za kujua hali halisi ya vyombo vyetu na kuviona kama vyombo adui.. Ukiondoa NGOs, jeshi sasa ni sekta ambayo inaajiri wataalamu wengi na graduates mahiri kitaaluma na zaidi kinidhamu. Kwa hili ni wajibu wetu kutambua uongozi wa Waitara na Mwamunyange ambao nao ni wasomi na zaidi wanathamini usomi.

Lakini pia kuna mipango mingi tu ambayo inaendelea ikiwemo ya ujenzi wa chuo kikuu cha jehi kitakachojishughulisha na strategic and technological aspects za kijeshi ambazo zitakuza capacity ya usomi wa jeshi letu kwa wale waliokuwepo na watakaojiunga hapo mbeleni. Huo ni ukweli ambao unahitaji juhudi ndogo sana kuweza kuujua na kuutambua....

Jeshi letu, haswa katika ngazi ya maofisa sio la vilaza kama ambavyo tumezoea kuamini hivyo. Nimekaa darasani na mabarazani na best brains ambazo zimetoka jeshini na wanatumika vilivyo.

Na wanasiasa na wapiga debe wao ni kwa faida yao kutambua hilo na kujua jinsi gani wanavyowa-engage kwa faida yao na kwa faida ya Taifa...

Salaam
Kama ndivyo nami naitikia salam yako.
Tunataka kitu endelevu na sio kuoneshana umwamba na ukichwa ngumu.
Jeshi lazima liwe mstari wa mbele kwa maendeleo ya nchi maana ndilo lapaswa kuyalinda madema yetu ya uchumi na usalama wetu.
 
Tractor zenyewe wameziweka hapo mwenge karibu na efetha zote zakiindi, eti kilimo kwanza nani kasema?
 
Back
Top Bottom