Elections 2010 Slaa amtaka Shimbo kueleza zilikokwenda sh bil 155 za Meremeta

Hivi Shimbo alijibu tuhuma hizo au ndio kama kawa aliendelea kula na kula jamani Mungu ndiye anayejua
 
Dr. Slaa alitwambia kuwa hakuwahi kuuwaza urais na ndiyo maana kabla akajichukulia fomu ya ubunge Karatu lakini waliomjua wakamshawishi agombee uraisi, Tanzania kwa mara nyingine ikapoteza nafasi ya kurekebisha makosa ya miaka 50 ya kujiamulia mambo yake kama nchi huru.
Tulipoteza bahati na mtu aliyekuwa na nia ya kweli angalau hata kutuelezea ukweli wa tunalopaswa kufanya kuondokana na umaskini na dharau hizi!
Haya ...na sasa bw. Shimbo kwa vile yuko hai bado ajibu hizi tuhuma!
 
Back
Top Bottom