Slaa: Aliyeteua mawaziri mizigo awajibishwe


M

Maswala

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Messages
560
Likes
25
Points
45
M

Maswala

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2011
560 25 45

Tabora. Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Willibroad Slaa amesema, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kisitafute dawa ya mawaziri ‘Mizigo’ badala yake wamwajibishe aliyewateua hao wanaowaita mzigo.
Alisema badala ya kuwahangaisha Watanzania kwa kujadili majina ya mawaziri mizigo, wanapaswa kuchukua hatua za kinidhamu kama wana uhakika na mawaziri hao na kushauri kuangalia upatikanaji wao hadi kufikia nafasi hizo nyeti za kuwatumikia watu.
Akihutubia mkutano wa hadhara katika Uwanja wa Shule ya Sekondari Uyui mjini Tabora juzi,Dk Slaa alisema kinachoendelea ndani ya Serikali hivi sasa ambacho kinaitwa ‘mawaziri mizigo’ ni moja ya dalili ya tatizo katika mamlaka ya uteuzi alibainisha pia kuwa, kuwatimua mawaziri hao siyo dawa bali kushughulikia chanzo cha tatizo.
Amesema kwa muda mrefu Serikali ya Rais Jakaya Kikwete imekuwa lawamani kutokana na kushindwa kazi kwa mawaziri wake, jambo ambalo Dk Slaa amesema, limetokana na kutofanyika kwa umakini wa kuzingatia vigezo, bali uswahiba.
Alisisitiza kuwa kinachofanyika sasa kwa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kuzunguka nchi nzima na kutaja majukwaani mawaziri mzigo ni njia ya kusukuma agenda ya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri,lakini rais anapaswa kuchukua uamuzi sahihi wakati wa kuwawajibisha hao ‘mizigo’ ambao ni maswahiba.
Dk Slaa anaendelea na ziara ya kuimarisha na kukagua uhai wa chama hicho mkoani Tabora,juzi alitembelea maeneo ya Ugoweko, Kakola na Tabora mjini na kudai kuwa mabadiliko ya mara kwa mara ya Baraza la Mawaziri katika Serikali ya Rais Kikwete hayana tija kwa Watanzania na ni dalili za tatizo la ukosefu wa uwajibikaji.

Soma zaidi: Slaa: Aliyeteua mawaziri mizigo awajibishwe - Siasa - mwananchi.co.tz
 
M

majebere

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
4,645
Likes
690
Points
280
M

majebere

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
4,645 690 280
Mzee wa Gongo huyo.
 
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
58,085
Likes
55,448
Points
280
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
58,085 55,448 280
DR SLAA akitoa tamko nchi yote inatikisika ! HUYO NDIYE MTU MAARUFU KULIKO WOTE NCHI HII .
 
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
58,085
Likes
55,448
Points
280
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
58,085 55,448 280
Mzee wa Gongo huyo.
TUMEAMUA KUIBORESHA KISHERIA BAADA YA KUGUNDUA KWAMBA polisi wamewafanya vitega uchumi vyao akina mama wa KEKO MWANGA , BUGURUNI ,MBAGALA , M/NYAMALA KISIWANI NA KIGOGO SAMBUSA .
 
Tony Gwanco

Tony Gwanco

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2013
Messages
5,919
Likes
46
Points
0
Tony Gwanco

Tony Gwanco

JF-Expert Member
Joined Jan 22, 2013
5,919 46 0
kama anaweza mpa account yake y fb.tweeter.jf za katibu mkuu demu wake atumia kama katibu mkuu akiwa rais atampa nn?
 
C

casampeda

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2012
Messages
2,792
Likes
100
Points
145
C

casampeda

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2012
2,792 100 145
DR SLAA akitoa tamko nchi yote inatikisika ! HUYO NDIYE MTU MAARUFU KULIKO WOTE NCHI HII .
Kaoa tayari au kama Mboe michezo hawajamaliza mpaka uzeeni!!!!! eti mupewe DOLA????? familia zinawasha!!!!!
 
mwekundu

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Messages
21,030
Likes
10,395
Points
280
mwekundu

mwekundu

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2013
21,030 10,395 280
Na aliyeteua wabunge wa viti maalum ndugu na ma hawara wake wafanyaje?
 
omujubi

omujubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2011
Messages
4,143
Likes
84
Points
145
omujubi

omujubi

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2011
4,143 84 145
Amesema kwa muda mrefu Serikali ya Rais Jakaya Kikwete imekuwa lawamani kutokana na kushindwa kazi kwa mawaziri wake, jambo ambalo Dk Slaa amesema, limetokana na kutofanyika kwa umakini wa kuzingatia vigezo, bali uswahiba.
Alisisitiza kuwa kinachofanyika sasa kwa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kuzunguka nchi nzima na kutaja majukwaani mawaziri mzigo ni njia ya kusukuma agenda ya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri,lakini rais anapaswa kuchukua uamuzi sahihi wakati wa kuwawajibisha hao ‘mizigo' ambao ni maswahiba.
Soma zaidi: Slaa: Aliyeteua mawaziri mizigo awajibishwe - Siasa - mwananchi.co.tz
Hapa napata wazo jipya; kumbe hata katibu, mwenezi na wengineo waliteuliwa na rais/mwenyekiti huyo huyo na huenda nao ni sehemu ya tatizo (mizigo) kama hao mawaziri wanaowasema.
 
chitalula

chitalula

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Messages
1,305
Likes
44
Points
145
chitalula

chitalula

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2010
1,305 44 145
ni kweli mabadiliko hayo yanatuongezea gharama za maisha, aliyewateua mawaziri mizigo awajibishwe maana kila siku anarudia makosa yaleyale na waliokuwa mizigo washtakiwe mahakamani
 
Mu7

Mu7

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2013
Messages
634
Likes
149
Points
60
Mu7

Mu7

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2013
634 149 60
kama anaweza mpa account yake y fb.tweeter.jf za katibu mkuu demu wake atumia kama katibu mkuu akiwa rais atampa nn?
umeyajuaje haya? Au ww ndiye demu wake?
 
utaifakwanza

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Messages
14,153
Likes
1,784
Points
280
Age
49
utaifakwanza

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2013
14,153 1,784 280
bado tupo dodoma bungeni kwenye uzinifu wa mwenyekiti
 
utaifakwanza

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Messages
14,153
Likes
1,784
Points
280
Age
49
utaifakwanza

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2013
14,153 1,784 280
tatizo la hawa viongozi wetu ni uzinifu wao.
 
Jiwejeusi

Jiwejeusi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2011
Messages
754
Likes
3
Points
0
Jiwejeusi

Jiwejeusi

JF-Expert Member
Joined May 3, 2011
754 3 0
chama chakavu mno na serikali yake ni mizigo, mizigo hufanya kazi pamoja
 
F

Froida

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2009
Messages
8,463
Likes
1,783
Points
280
F

Froida

JF-Expert Member
Joined May 25, 2009
8,463 1,783 280
Mteuwaji mwenyewe kuzurura dunia nzima Tanzania imeigeuza kuwa kitanda haramu ha ha chezea JK wewe anataka kuvunja rekodi ya dunia kabla ya kuondoka 2015 awe na safari 500
 
F

Froida

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2009
Messages
8,463
Likes
1,783
Points
280
F

Froida

JF-Expert Member
Joined May 25, 2009
8,463 1,783 280
maarufu kwa kuhalalisha gongo
Safi sana Raisi wa mioyoni tunataka gongo iingie kwenye vinywaji vinavyoratibiwa na TFDA sio ilivyo kwa sasa ambapo wananchi wanakufa Kwasabu hakuna uratibu kamili
 

Forum statistics

Threads 1,274,090
Members 490,586
Posts 30,500,708