Slaa akubali yaishe.

Maswi

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
932
211
Nilimsikiliza Hutu kada wa CCM Jana na wakato anahojiwa alisema haya yote yanayotokea sasa kwake ni kwasababu alikosa nafasi ya yeye kupeperusha Bendera ya UKAWA. Na Mkuu " Unajua Mimi ni binadamu nina moyo was nyama inaniuma sana" Inamaana Lowassa angekua ADC au ACT asingeongea yote haya. Huyu jamaa ni wakuogopa kama Ukoma.
 
Nilimuona ile jana lakini kikubwa ni majibizano ya hoja mbona hoja za msingi alikuwa anaziluka.

Atazijibu wapi wakati amekwisha kukubali kutumiika yeye na mwenzake. Inaonekana Josephine alitamani sana awe first lady hadi MTU kulala kwenye Gari no hatari sana.
 
Huyu mzee apumzike tu kwa amani

NADAHANI DAWA PIA JIBU KWA HUYU KIKONGWE SLAA NI KUSHIKAMANA NA KUHAKIKISHA TUNAMUUNGA MKONO KWA DHATI NDG EDO LOWASA NA KUHAKIKISHA TUNAJITOKEZA 25 Oct 15 ASUBUHI NA MAPEMA TUKIWA NA KALAMU ZETU KUMPA KURA NYINGI NDG LOWASA NA KUZILINDA MPAKA KIELEWEKE This TIME
 
kaka achana na huyu mzee...fanya kazi zako za kimaendeleo...ikifika tarehe 25 october chukua kichinjio chako...chinja hii system kisha tupe yule mmasai anaeogopwa na ccm maana wanajua hanaga mchezo kwenye kazi na maendeleo
 
Asante, ngoja mwezi ujao tuyaondowe Haya majizi.
 
Jamani mbona mnamwiita dr slaa wakati tumesha pitisha jina lake jipya mzee wa magumashi!
 
Atazijibu wapi wakati amekwisha kukubali kutumiika yeye na mwenzake. Inaonekana Josephine alitamani sana awe first lady hadi MTU kulala kwenye Gari no hatari sana.

Jamani huyu mzee ananyota ya...........na yakuwa mpinzani. Hatakaa afanikiwe kisiasa milele, ataendelea kuzeekea kwenye vyama vya upinzani.

Alikuwa chadema "upinzani" sasa hivi Chasema/Ukawa wanachukuwa nchi, yeye anakimbilia ccm ambayo nayo inaenda kuwa chama cha upinzani after Oct, 25.

M4C na Lowasa.
 
slaa lengo lake ajibiwe na lowasa na sumaye sasa wenzake wajanja wamekausha, kila akiropoka uharo wake anajibiwa na bavicha tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom