Sky Park Singapore

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
382170_382542851825011_208266894_n.jpg
 
Kazi ipo na sisi tunayo waweke miti tu pale PPF na PSPF maana yako close na beach!safari bado ndefu sana
 
Kazi ipo na sisi tunayo waweke miti tu pale PPF na PSPF maana yako close na beach!safari bado ndefu sana

Hapana ni matter ya kuja rais mwenye ezalendo na sio wa kumtafutia mwanaye biashara za kufanya. Kwani hilo ni hela ngapi ambazo tanzania haina!
 
Vipaumbele!! kama vipaumbele vyeti ni kuendelea kuwa soko la bidhaa chakavu kutoka nchi kama hizo unategemea nini? Kama vipaumbele vyetu ni kuwaona wezi kama wapiganaji unategemea nini? Kama vipaumbele vyetu ni kuwanyanyasa walimu, watu wanaosaidia kuondoa ujinga vichwani mwa watoto wetu unategemea nini? Kama vipaumbele vyetu ni kuomba omba kila kukicha unategemea nini? Kama vipaumbele vyetu ni kuzungumzia udini, ukabila na ukanda unategemea nini? Kama vipaumbele vyetu ni umimi na kila aina ya utendaji mbovu bila kuangalia hapo baadae watoto wetu wataishi vipi, unategemea nini?
Vipaumbele vya maana havieleweki kwetu, ni kama tumeshindwa kutumia karama tulizonazo kwa kukosa viongozi wabunifu.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom