Sky News wako busy kutuelezea ya ajali ya Kivuko, TBC wako busy na mambo ya waganga wa jadi!

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,898
Sky News wako busy kutuelezea issue ya ajali ya Kivuko TBC wako busy na mambo ya waganga wa jadi!
IMG-20180921-WA0016.jpg

IMG-20180921-WA0015.jpg

IMG-20180921-WA0014.jpg
 
Yani TBC ni janga.

Juzi baada ya kuondoa local channels kwenye DSTV, ikabakia TBC, mama yangu anapenda sana taarifa ya habari, ameangalia siku 2 tu TBC ikamshinda, akaniambia nimnunulie king'amuzi chenye Local channels nyingine.

Mama yangu sio mtu mwenye exposure kabisa, ni mtu mzima aliepata elimu ya watu wazima enzi za Nyerere, nilishangaa anaiponda TBC balaa.

Ananiambia toka asubuhi hadi jioni ni mambo ya ajabu ajabu tu wanaonyesha.

Hakuna mwenye akili timamu anaweza kupenda programs za TBC. Lazima wabadilike.
 
Sisi tuache tujifie tu, wakimaliza hapo wanaweka ziara za mkuu, na jioni mkuu wa mkoa anasema giza limeingia tukalale tuonane saa kesho saa mbili kuendelea na uokoaji!
Mwezi ujao.
Ataenda viwanja vya furahisha kuwapa ngonjera za hapa kazi tu.
Na wao walivyokuwa wazito wa kufikiri.hata kuomba kivuko kipya hawataomba.watashangilia tu.
 
Back
Top Bottom