Skuli nyingine bana?

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
931
Sijui jina la skuli na taaluma inayotoa zitakuwa zinafafana?

Attachments

  • 144-add-Bulongwa.jpg
    144-add-Bulongwa.jpg
    14.8 KB · Views: 412
Yafananafana kama usafiri wa Bulongwa vile! "WIDAMBE", LUPELO,IGESA LINE nk nk

Umesahau 'MWAFRIKA' na UBENA COACH'...Kuna moja enzi hizo lilikuwa limeandikwa ..'Nyilaka, Nyilaka Nkwenzulu'..huh!
 
Yafananafana kama usafiri wa Bulongwa vile! "WIDAMBE", LUPELO,IGESA LINE nk nk

Eee bwana ee kama mitaa ya Lupalilo au Mang`oto vile. Angalia huo mti wa mkambokambo na milima ya nyuma kule kama unapanda Usungilo vile au huku ni Kipengere kama unaenda Igosi.

Lakini bado nasema shule hiyo iko ujubani.
 
Mbona huu mkeka hapa bora wa bongo?Du maana mara ya kwanza ulikuwa unaita gafla vumbi.labda zenji

Hii ya vumbi safari ya Bulogwa Makete, ...na baadae safari ikaishia migombani "KUTUKUYU" Mbeya!

Attachments

  • 031-Tukuyu.jpg
    031-Tukuyu.jpg
    16.1 KB · Views: 328
  • 132-Matemakauppa.jpg
    132-Matemakauppa.jpg
    10.8 KB · Views: 354
  • 037-Tukuyu-kraaterijarvi.jpg
    037-Tukuyu-kraaterijarvi.jpg
    18 KB · Views: 329
Shule hii haiko Tanzania,bila shaka ni huko ujubani.

Yup..ukiangalia huo mkeka chini babaake, live hii si bongo!
Usenge High School Usenge Details

College Name: Usenge High School Address: P.O.Box Private Bag,Usenge 40609 State/City/Town: Usenge Country: Kenya Phone Number 1: 057-21807 Phone Number 2:
Email:
Home Page/Website:
School Category: Public Secondary Schools
 
kumbe haiko hata mbali!!!!!!!!
 
Yafananafana kama usafiri wa Bulongwa vile! "WIDAMBE", LUPELO,IGESA LINE nk nk

[/QUOTE
Bruh!, umekikumbusha mbali saaaana!, more so kwa hiyo picha ya Mwafrika Coach! duh!, hivi hayo mabasi yapo bado kweli?,manake wengine tumezaliwa tumeyaona, tangu enzi za Leyland Daff! Lol!
 
Back
Top Bottom