Skol building ni ya nani?

manSniper

JF-Expert Member
Sep 9, 2015
814
678
hawa skol juzi Makonda kawasimamisha kuchukua tenda mkoa wa Dar watu wakalalamika wameonewa sasa hili la leo la kuwa wamekua wakikwepa kodi toka mwaka 2010 wanadaiwa mabilion ya ela hii kampun nan alikua anawapa kaburi maana ilikua inakuja kwa kasi sana na kazi zao mbovu kabisa barabara walizotengeneza ni mbovu sana ebu bodi ya makandaras waifute hii kampun
 
nina hisa 37% but kuna other share holder. teh teh mjin akili hapo tunakwepa kodi na ifikapo j3 tutatangaza kufilisika so hakuna kesi. wacha kesho tukutane wanashare tujadili tuone tunaliwekaje kisheria teh teh
 
mmmh! kuna watu wazazi wao ni waajiriwa wa hizo kampuni na wanaendesha familia zao kwa kutegemea hizo hizo ajira sasa zikifutwa maisha si yatazidi kuwa magumu
 
Back
Top Bottom