Skills/ ujuzi ni kitu muhimu sana kwa maisha ya sasa

Political stability

JF-Expert Member
Apr 7, 2021
906
1,396
Umejifunza nini?
IMG_20210520_084039_254.JPG
 
Ndio ndio
Sure online mkuu? Sasa fanya hivi we ukiona poster au logo yyte ya biashara ya mtu kaipost na haivutii au unaweza kuimprove ifanyie kazi mtumie huyo mtu bure hata bila kukuomba. Utakuja kufanikiwa.
Naomba kujua nianzie wapi ili namimi nijifunze hiyo kitu?
 
Uwe na software kwanza uanze kuizoea, utafute toturial mitandaoni taratibu... Mimi nilianza tangu miaka ya 2015
 
Sure online mkuu? Sasa fanya hivi we ukiona poster au logo yyte ya biashara ya mtu kaipost na haivutii au unaweza kuimprove ifanyie kazi mtumie huyo mtu bure hata bila kukuomba. Utakuja kufanikiwa.
Naomba kujua nianzie wapi ili namimi nijifunze hiyo kitu?
Kwanza hakikisha Una computer ambayo ina HD kuanzia 320 ram kuanzia 3 siyo mby maana ni beginner
Pia ukipata yenye graphics card itakuwa powa zaidi Ila siyo lazima ,kisha download software km Adobe Photoshop au illustrator au In Design nk kisha download totorials mbalimbali kujifunza zaidi

NB : kabla ya yote unatakiwa uwe specific unataka uwe designer wa nn na pia kazi za ubunifu unatakiwa uwe na msukumo kutoka ndani maana kujifunza na kujua ni Jambo la kawaida ..inshu inakuja kwenye ubunifu ktk kazi zako ili upate soko.. pragrialism kwenye kazi za ubunifu hairuhusiwi

Unaweza kuuliza maswali zaidi mkuu
IMG_20210521_134505.jpg
 
Unaweza kuuliza maswali zaidi mkuuView attachment 1792673
Nimekuelewa vizuri sana mkuu. Shukrani ase
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom