sketi fupi yazua balaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

sketi fupi yazua balaa

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Castle, Nov 7, 2008.

 1. Castle

  Castle Member

  #1
  Nov 7, 2008
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 87
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  dada mmoja alikuwa akipita karibu na nyumba yenye mbwa wakali na huku akiwa amevaa sketi fupi ya kubana mapaja, ghafla akatokea mbwa akaanza kumkimbiza, kwakuwa sketi ilikuwa fupi na yakubana ili aweze kujiokoa na yule mbwa akaamua kuivuta juu zaidi ili aweze kukimbia,kwakuwa sketi ilikuwa fupi huku nyuma bidhaa zote adimu zikawekwa hadharani lakini hakujali ili aweze kujinusuru na yule mbwa.
  siku njema.
   
  Last edited: Nov 8, 2008
 2. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #2
  Nov 7, 2008
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Mods futa hii tafadhali..
   
 3. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #3
  Nov 7, 2008
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mmoja aitwaye Kiroboto kule Moshi aliwahi kumpa kitu dada nurse mmoja pale mawenzi hospital na ndo kwanza alikuwa ametoka kufunga ndoa. Nurse alikunywa sumu akafa. Maskini dada wa watu.
   
 4. Bubu Msemaovyo

  Bubu Msemaovyo JF-Expert Member

  #4
  Nov 7, 2008
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 3,436
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145

  mod tafadhali usifute, usifute. Nasisitiza do not delete this thread. Hapa tupo darasani jamii isijidanganye kufumba macho kwa lengo la kujificha wakati ni ni mchana wa jua kali.
   
 5. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #5
  Nov 7, 2008
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Narejea tena ..mods futa hii tafadhali..
   
 6. Bonnie1974

  Bonnie1974 JF-Expert Member

  #6
  Nov 7, 2008
  Joined: Mar 19, 2008
  Messages: 407
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ni mara ya pili unasisitiza, tunaomba sababu
   
 7. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #7
  Nov 7, 2008
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kama kweli isifutwe ni fundisho kwa akina dada watu tunadindisha bila sababu za msingi kisa mtu ameamua kuvaa nusu uchi.
   
 8. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #8
  Nov 7, 2008
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Yaani kweli huoni tatizo hapa?

  Au mpaka iweje ndo ukione kinyaa hiki?
   
 9. M

  Mama JF-Expert Member

  #9
  Nov 7, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0

  kwani cha ajabu ni nini hapo hasa cha kukufanya uone kinyaa?
   
 10. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #10
  Nov 7, 2008
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Labda ni-break the circle, niulize, hapo ktk P#1 Joke ni nini?
   
 11. M

  Mama JF-Expert Member

  #11
  Nov 7, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Huyo msichana mwenye umbile zuri, kumkubalia kichaa tena bada ya kuamuliwa, halafu mbele ya kadamnasi. It will never happen!
   
 12. M

  Mundu JF-Expert Member

  #12
  Nov 7, 2008
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Hii habari haina chembe ya ukweli, haileti maana! Ifutwe
   
 13. L

  Lunanilo JF-Expert Member

  #13
  Nov 7, 2008
  Joined: Feb 15, 2008
  Messages: 370
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  If this is supposed to be a joke, it is not funny. Mental illness is a serious issue.
   
Loading...