Skeleton System: Unawezaje kubeba 500 KG mabegani bila mifupa kuvunjika hapo hapo?

But huwezi fikia kubeba 500 KG na hakuna mtanzania anaweza push huo mzigo Squat..kwa Pro lifters kweli wananguvu But kivipi Skeleton ihimili iyo Weight??
Mkuu mimi mwisho kilo 25 nafanya nikiwa ma stress zangu mimi na vyuma wapi na wapi ukiniona mwembamba kama fito
 
Kuna sehemu zina nyama(misuli) michache sana kama kwenye ugoko kuja chini na Front Arm.

Kuna kipindi nilikuwa naangalia wafanya zoezi Gym kuna Mbavu mmoja kajazia mwili ila Genetically mwembamba so Front Arm 5cm kutokea kiganjani ni kwembamba ukilinganiaha na ujazo wake wa Back Arm (Biceps/Triceps)...Jamaaa akipiga kifua kwenye Banch Press ananyanyua uzito mkubwa sana nikiangaliaga zile sehemu nyembamba na mzigo ulio inuliwa naonaga kama utavunjika mfupa...kwanini vifupa vyembamba vina Hold mzigo mzito kama ule (How much strong is bones).
Hapa nimemkumbuka peter msechu
 
kama mifupa kazi yake kutengeneza umbile tu kwanini kwenye Topic ya Movement Biology Form 2 tunasoma sana mifupa na kuchora...Is a movement synonyms of body shape.

Kuna tofauti Kati ya Body Weight na Free Weights....Let assume ngowowo la Sancho lina 7KG mwambie Sancho akimbie 1KM itakuwa rahisi sana kwake OK sasa chukua kisu kata Ngowowo lake la 7KG mkabidhi akimbie nalo zile 1KM atashindwa au atafika kachoka sana.

So ninaposema ½ tonne of Free Weights juu ya bega is not a jokes at all...all Gravity force going to you how weak bones survive that apocalypse.
Mkuu mfano umenifanya nacheka mpk watu wanaamka bhana...dah

Ngoja nipitie vitabu kidogo..nitarud
 
je mifupa inawezaje kuhimili huu mzigo kukaa juu yake manana kinachokupa nguvu ya ku-Push muscles lakini Ones ukishauweka begani uzito unakuwa umekalia Skeleton Frame...mifupa membamba na dhaifu kama hii chini inawezaje kubeba mzigo nusu tani (½ tonne) bila kuvunjika tena kwa pamoja.
Mkuuu mimi naomba nichangie kidogo

Mkuuu mimi naomba nichangie kidogo

Kwanza hao wanaobeba hizo heavy weight hawabebi siku moja,ni jambo wanalifanya taratibu kadri ya siku zinavyoenda wanaongeza uzito taratibu mpaka wanafikia hatua ya kubeba hizo kilo nyingi.

Sasa ni kipi kinatokea wanapoanza kubeba vitu vizito ?

Tufahamu kuwa bone ama mfupa unakuwa imara kwa sababu kuna cell zinafanya kazi ya kujengaa mfupa mpya ama kuukarabati mfupa ili uwe imara zaidi.

Cell hii kitaalamu wanaiita osteoblast.

Kinachotokea sasa ni kuwa unapobeba chenye uzito usio wa kawaida ile stress au mkandamizo unaopatikana kutokana na ubebaji wa kitu basi ule mkandamizo unaenda kustimulste ama kuamsha kitu kinaitwa parathyroid hormone.

Parathyroid hormone hii inaenda kumuamsha yule cell osteoblast kwamba mzee ongeza kasi ya kujenga mfupa na kuukarabati zaidi.

Matokeo yake sasa osteoblast inaongeza kasi ya ufanyaji kazi wake kitaalamu wanaita bone remodeling

Wakati huo huo osteoblast inakazi ya kucontrol ama kupitisha calcium iingie katika mfupa mzima.

Sasa kadri osteoblast ikiwa inazalishwa kwa wingi ama kufanya kazi zaidi maaana yake pia itaongeza calcium katika mfupa.

Na calcium ndiyo inasaidia mfupa kuwa mgumu,hivyo kalcium ikiwa nyingi na mfuoa ndo unazidi kuwa mgumu.

Kwa maana hiyo mtoa mada sio kweli kwamba mtu akiwa anabeba vitu vizito mfupa unabaki pale pale mfupa unabadilika,cell mfupa zinazalishwa kwa wingi huku ikiongeza calcium ambayo nayo inaongeza ugumu wa mfupa.

Hivyo kwanza kinachofanya wale wabebba vitu vizito mifupa yao isivunjike ni kwa sababu wao mifupa yao imeshakuwa imara tayari kwa sababu walibeba taratibu kilo kadhaa mpaka kufika hizo kilo tajwa.

Hivyo mifupa yao imeshakuwa migumu tayari ndio maana inakuwa imara mnoo.

Wewe ama mimi nikibeba hizo kilo sasa hivi wakati sina mazoezi pengine nikavunja mgongo kabisa ama mifupa ikapata serious injury kwa sababu bado mfupa wangu hauna mazoezi wala uimara wa kuhimili uzito ule.

Lakini jambo la pili ni kuwa mfupa kama mfupa una uwezo mkubwa wa kuhimili stress ama mkandamizo bila kuvunjika endapo mkandamizto huo utapita katika mfupa kwa urefu na sio kwa ukati.

Yaani mfano mfupa wa mguu kitaalamu kama sikosei wanaita tibial ambao ni mrefu hivi au chukulia paja la kuku lile utakuta lina kama vifundo viwili juu na chini.

Sasa vile vifundo vya juu na chini assume umesimamisha lile paja yaani kifundo kimoja chini kingine juu.

Baada ya kuskmamisha kile kifupa ukijaribu kupiga kwa juu ya fundo ule mfupa na kitu kizito,mfupa inakuwa ngumu kuvunjika kwa sababu umeusimamisha.

Lakini ukipiga na kitu kizito pale katikati ya mfupa inakuwa rahisi kuvunjika mfupa ule.

Ni kama yai tu ukiliweka kwa marefu ukalibinya ama kulifinya ni ngumu kuvunjika.

Sasa kanuni hii mpaka kwenye mifupa ipo yaani ukiapply uzito katika mfupa kwa uwima basi mfupa ni ngumu kuvunjika.

Hivyo wabeba kilo nyingi wanaposimama na zile vyuma vizito ile mifupa yao mingi ya mwili inakuwa iko wima na hivyo kuwapa uwezo mifupa hiyo kuhimili mkandamizto huo.

Kwa maana hiyo ni ngumu kuvunjika kwa mfupa kwa sababu mfupa ni imara lakini pia mzigo unakuwa upo kiwima wima na mifupa.

Naomba kuwasilisha
 
Ajabu ni kwamba wanabobeba lazima wapige kelele..

Hii ni ishara kwamba mwili ulikuwa na kipimo chake maalum cha uzito
 
Siamini kuwa ni mifupa pekee inayobeba uzito. Nadhani kuna combination ya mambo kibao ikihusisha viungo mbalimbali vya mwili.
 
Kipo kitu hapa.

Sasa naomba kuuliza swali japo linaweza kuwa nje ya mada: kuna hawa watu wanaoitwa wana mfupa mmoja, inasemekana huwa wana nguvu sana kiasi kwamba akikupiga ngumi moja ya uhakika, huponi. Je, ni kweli?. Na kama ni kweli, how!!
 
Umeeleza vuzuri sana 100% Excellent.

Je kuna kihasi cha mwisho mifupa kuhimili uzito as you state mifupa inaijiimarisha...Mfano mtu anaebeba 500 KG akafikisha 1000 KG je still mifupa itajiimarisha ili kuCope hitajio au itasema huyu bwana sasa tumemchoka...najua uwezo wa binadamu haifiki huko ila nataka LOGIC je kuna limitation za mifupa.
 
Kipo kitu hapa.

Sasa naomba kuuliza swali japo linaweza kuwa nje ya mada: kuna hawa watu wanaoitwa wana mfupa mmoja, inasemekana huwa wana nguvu sana kiasi kwamba akikupiga ngumi moja ya uhakika, huponi. Je, ni kweli?. Na kama ni kweli, how!!
Khee mfupa mmoja, kiaje yaani.
 
mfano wapiganaji boxing..inasadikika mwengine mkono wa kulia ana mfupa(maneno yao hayo) kwahyo akikupg ngumi lazm ulale.
According to body Anatomy
Human foreArm ina mifupa miwili Tibia na Fibula kwahiyo wao wana mmoja tu...haiwezekani kuna reasonable cause ya kuwepo mufupa miwili.

labda tusubiri wataalamu pia
 
Kuna jamaa alibeba gunia zito akasikia kimlio kama keraaach, akapuuza akabeba akapakia kwe gari. Baada ya miaka kadhaa akaparalize. Uti wa mgongo uliweka ufa.
 
Khee mfupa mmoja, kiaje yaani.
Mfupa mmoja kwamba hata ukiushika unauhisi ni mmoja. (wa mkono) Binafsi nimeshafuatilia na nikaona huo utofauti wa mwenye mfupa mmoja na mimi niliye na miwili. Kuna utofauti wa wazi kabisa
 
But huwezi fikia kubeba 500 KG na hakuna mtanzania anaweza push huo mzigo Squat..kwa Pro lifters kweli wananguvu But kivipi Skeleton ihimili iyo Weight??
Bro
Kwa macho yangu,niliwahi shuhudia Jamaa anabeba gunia la Mchele kilo Mia 3 na zaidi takriban kwenye Mgongo wake,huku akiwa anakimbia

Sioni ajabu kwa Mtu kubeba kilo Mia Nne
 
Back
Top Bottom