Skeleton System: Unawezaje kubeba 500 KG mabegani bila mifupa kuvunjika hapo hapo?

Huwa nikiwatazama hawa jamaa,nikafikiria jinsi mwili ulivyo na unavyofanya kaz naanza kuhis kama anaweza vunjika magoti kwa uzito huo,nawaza pia maisha yao ya baadae mwili wake hauwez kupata matatizo,huwa najkuta mwili wangu unaanza kuuma kwa kutafakar hayo
 
Nilikuwaga nina kilo 50 plus lakini nikawa naweza kubeba na kutembea na gunia la mahindi la kilo 150. Nikawa ninajiuliza sana. Hadi sasa hii physics sijaielewa.
 
Mkuuu mimi naomba nichangie kidogo

Mkuuu mimi naomba nichangie kidogo

Kwanza hao wanaobeba hizo heavy weight hawabebi siku moja,ni jambo wanalifanya taratibu kadri ya siku zinavyoenda wanaongeza uzito taratibu mpaka wanafikia hatua ya kubeba hizo kilo nyingi.

Sasa ni kipi kinatokea wanapoanza kubeba vitu vizito ?

Tufahamu kuwa bone ama mfupa unakuwa imara kwa sababu kuna cell zinafanya kazi ya kujengaa mfupa mpya ama kuukarabati mfupa ili uwe imara zaidi.

Cell hii kitaalamu wanaiita osteoblast.

Kinachotokea sasa ni kuwa unapobeba chenye uzito usio wa kawaida ile stress au mkandamizo unaopatikana kutokana na ubebaji wa kitu basi ule mkandamizo unaenda kustimulste ama kuamsha kitu kinaitwa parathyroid hormone.

Parathyroid hormone hii inaenda kumuamsha yule cell osteoblast kwamba mzee ongeza kasi ya kujenga mfupa na kuukarabati zaidi.

Matokeo yake sasa osteoblast inaongeza kasi ya ufanyaji kazi wake kitaalamu wanaita bone remodeling

Wakati huo huo osteoblast inakazi ya kucontrol ama kupitisha calcium iingie katika mfupa mzima.

Sasa kadri osteoblast ikiwa inazalishwa kwa wingi ama kufanya kazi zaidi maaana yake pia itaongeza calcium katika mfupa.

Na calcium ndiyo inasaidia mfupa kuwa mgumu,hivyo kalcium ikiwa nyingi na mfuoa ndo unazidi kuwa mgumu.

Kwa maana hiyo mtoa mada sio kweli kwamba mtu akiwa anabeba vitu vizito mfupa unabaki pale pale mfupa unabadilika,cell mfupa zinazalishwa kwa wingi huku ikiongeza calcium ambayo nayo inaongeza ugumu wa mfupa.

Hivyo kwanza kinachofanya wale wabebba vitu vizito mifupa yao isivunjike ni kwa sababu wao mifupa yao imeshakuwa imara tayari kwa sababu walibeba taratibu kilo kadhaa mpaka kufika hizo kilo tajwa.

Hivyo mifupa yao imeshakuwa migumu tayari ndio maana inakuwa imara mnoo.

Wewe ama mimi nikibeba hizo kilo sasa hivi wakati sina mazoezi pengine nikavunja mgongo kabisa ama mifupa ikapata serious injury kwa sababu bado mfupa wangu hauna mazoezi wala uimara wa kuhimili uzito ule.

Lakini jambo la pili ni kuwa mfupa kama mfupa una uwezo mkubwa wa kuhimili stress ama mkandamizo bila kuvunjika endapo mkandamizto huo utapita katika mfupa kwa urefu na sio kwa ukati.

Yaani mfano mfupa wa mguu kitaalamu kama sikosei wanaita tibial ambao ni mrefu hivi au chukulia paja la kuku lile utakuta lina kama vifundo viwili juu na chini.

Sasa vile vifundo vya juu na chini assume umesimamisha lile paja yaani kifundo kimoja chini kingine juu.

Baada ya kuskmamisha kile kifupa ukijaribu kupiga kwa juu ya fundo ule mfupa na kitu kizito,mfupa inakuwa ngumu kuvunjika kwa sababu umeusimamisha.

Lakini ukipiga na kitu kizito pale katikati ya mfupa inakuwa rahisi kuvunjika mfupa ule.

Ni kama yai tu ukiliweka kwa marefu ukalibinya ama kulifinya ni ngumu kuvunjika.

Sasa kanuni hii mpaka kwenye mifupa ipo yaani ukiapply uzito katika mfupa kwa uwima basi mfupa ni ngumu kuvunjika.

Hivyo wabeba kilo nyingi wanaposimama na zile vyuma vizito ile mifupa yao mingi ya mwili inakuwa iko wima na hivyo kuwapa uwezo mifupa hiyo kuhimili mkandamizto huo.

Kwa maana hiyo ni ngumu kuvunjika kwa mfupa kwa sababu mfupa ni imara lakini pia mzigo unakuwa upo kiwima wima na mifupa.

Naomba kuwasilisha
We atleast umeongea vitu vya kueleweka wengine walikuwa wanapiga porojo
 
Kuna madude katika mifupa yanaitwa tendons and ligaments ambazo ndio zinasaidia mifupa kufanya kazi yake. Hayo makolokolo nlotaja hapo kazi yake ndio kama spring katika kuubeba uzito wa mzigo wa gari.
 
Mkuu umesema vizuri sana. Pia kingine unapaswa kuwa na pumzi ya kutosha. Nimezoea kuwaona makuli wakibeba gunia la kg 160 na kulipandisha juu kabisa kwenye magodani ya kuhifadhia nafaka. Kwa wale wanyanyua uzito wao wananyanyua tu, akifikisha mabegani baada ya aekunde kadhaa anatupa chini. Lakini hawa wabeba magunia anauwezo wa kukaa na gunia ka kg 160 mabegani hata kwa dk15.
 
Kipo kitu hapa.

Sasa naomba kuuliza swali japo linaweza kuwa nje ya mada: kuna hawa watu wanaoitwa wana mfupa mmoja, inasemekana huwa wana nguvu sana kiasi kwamba akikupiga ngumi moja ya uhakika, huponi. Je, ni kweli?. Na kama ni kweli, how!!
Mkuu hilo sijui kabisa na mimi huwa naskia tu hata sielewi inakuwaje
 
What about him?

Mchizi Mox.JPG
 
Umeeleza vuzuri sana 100% Excellent.

Je kuna kihasi cha mwisho mifupa kuhimili uzito as you state mifupa inaijiimarisha...Mfano mtu anaebeba 500 KG akafikisha 1000 KG je still mifupa itajiimarisha ili kuCope hitajio au itasema huyu bwana sasa tumemchoka...najua uwezo wa binadamu haifiki huko ila nataka LOGIC je kuna limitation za mifupa.
Mkuu kuhusu miifupa sijui kama kuna limitation au laa.

Tuqasubiri wataalamu
 
Bro
Kwa macho yangu,niliwahi shuhudia Jamaa anabeba gunia la Mchele kilo Mia 3 na zaidi takriban kwenye Mgongo wake,huku akiwa anakimbia

Sioni ajabu kwa Mtu kubeba kilo Mia Nne
Tofautiotisha kati ya Squating 400KG na Holding 400KG.

Yote kwa yote anayefanya Squat huo uzito na aliyebeba wote swali linawahusu.
 
Mkuu umesema vizuri sana. Pia kingine unapaswa kuwa na pumzi ya kutosha. Nimezoea kuwaona makuli wakibeba gunia la kg 160 na kulipandisha juu kabisa kwenye magodani ya kuhifadhia nafaka. Kwa wale wanyanyua uzito wao wananyanyua tu,
KG 160
*Sawa na kubeba watu watatu(3) wa Size yangu kwa pamoja.
*Sawa na kubeba Boxer BM 1

KG 500
*Sawa na kubeba watu kumi (10) wa Size yangu kwa pamoja.
*Sawa na kubeba Boxer BM 4 kwa mpigo.

Hii tofauti kubwa sana ya uzito...in Weight lifting even 80KG tofauti kubwa sana.

Weighting Class ya kiduania 500KG...Alafu Bodybuilders hawabebi tu wanafanya Sqatin kwenda nao juu na kurudi chini ×3 up to ×5...Hiyo sio record ya kitoto.
akifikisha mabegani baada ya aekunde kadhaa anatupa chini. Lakini hawa wabeba magunia anauwezo wa kukaa na gunia ka kg 160 mabegani hata kwa dk15.
 
kama mifupa kazi yake kutengeneza umbile tu kwanini kwenye Topic ya Movement Biology Form 2 tunasoma sana mifupa na kuchora...Is a movement synonyms of body shape.

Kuna tofauti Kati ya Body Weight na Free Weights....Let assume ngowowo la Sancho lina 7KG mwambie Sancho akimbie 1KM itakuwa rahisi sana kwake OK sasa chukua kisu kata Ngowowo lake la 7KG mkabidhi akimbie nalo zile 1KM atashindwa au atafika kachoka sana.

So ninaposema ½ tonne of Free Weights juu ya bega is not a jokes at all...all Gravity force going to you how weak bones survive that apocalypse.
Kwa hii comment it seems like you know what you argue,ila tu unatafuta justification 😎
 
Back
Top Bottom