Sizitakimbichi hizi, sungura akarukia mtini hakufikia.

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,684
8,831
Ilikuwa long time tukiwa waduchu wala hatukuwa na dhambi.
 
Ilikuwa long time tukiwa waduchu wala hatukuwa na dhambi.

Kumbe Nazjaz mtoto hivyo... Hiyo xtory nilisoma kwenye kitabu cha darasa III cha Kiswahili... Enzi hizo mwalimu wangu wa Kiswahili alikuwa Mwl. Kamkumba...., Hisabati Mkura, English Makava, Maarifa ya Jamii ticha Mamboleo, Stadi za Kazi Mwl. Nyakanyenge, Sayansi anasimamia Mchia.... Ilikuwa raha sana pale Msasani S. M.
 
karudi baba mmoja, toka safari ya mbali,
kavimba yote mapaja, nakutetemeka mwili,
watoto wake wakaja, ili kumtaka hali,
wakataka na kauli, iwafae maishani,
 
Back
Top Bottom