Sizani kama kweli gadhafi punde tu mikononi mwawahasi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sizani kama kweli gadhafi punde tu mikononi mwawahasi

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by msoviet, Aug 23, 2011.

 1. m

  msoviet New Member

  #1
  Aug 23, 2011
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni siku kadha waasi wamekuwa wakinyemelea nchi ya ghadafi huko libya kwa nia ya kumpora mafuta ambayo ndio chanzo kikubwa cha mapigano hivi ni kweli ndungu zangu, kisheria ni kweli kwamba mtu ananyanyasika kwa mali ya nchi yake.  je ungekuwa ni wewe unaingiliwa katika sehemu yako ugefanya kama ghadafi au........................................................................................
   
 2. malipula

  malipula JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 318
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Ghadafi hana wema wowote alitaka kutupiga miaka ya sabini mwishoni huwezi kuwafuga watu kama wanyama
   
 3. H

  Hute JF-Expert Member

  #3
  Aug 27, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,045
  Likes Received: 3,914
  Trophy Points: 280
  wamemkomesha rafiki wa nduli iddi amini yule...
   
Loading...