SIYOI hajui kama Arumeru ni wilaya, aiita Mkoa!

Huyu Dogo nadhani hanjui mwigulu! mwache amsifie mkewe aone nchemba kama hajampiga mbu....pu!

HAHAHAHAAAAA
6.jpg
 
Vituko na vimbweka vimeendelea kutokea kweny kampeni za pale, Mgombea wa CCM alipopanda jukwaan na kushukuru mkuu wa mkoa wa Arumeru ili hali hakuna mkoa huo tangu kipindi cha wakolon, Vimbweka viliendelea baada ya Bwn SIO kuanza kumsifia mkewe, huku wamama wakisikika wakifyonya nakusema hata wao wana watoto wazuri nakusema hawajaja kumuangalia mkewe bali kusikiliza sera.Awali Mh BWM alipanda jukwaan nakumwaga sera zilizo kuwa na ushawishi mkubwa lakin punde baada ya mwana wa marehemu kupanda jukwaan umati mkubwa wa watu ulianza kuondoka.

Baada tu ya kampen kuisha na mheshimiwa BWM kuondoka wananchi wa Jimbo la Arumeru waishio Usa River walianza kuwazomea wageni wao waliokuwa wameletwa kwa ma land cruiser,mabasi, hadi naondoka eneo la tukio mama mmoja almanusura apigwe vibaya na wafuasi wa CHADEMA baaday ya kuingiza kidole kimoja katikati ya vidole viwili vinavyoashiria nembo ya CHADEMA kama ishara ya kutukana.
Nikiripoti kutoka hapa USA RIVER ni mim Sungura tope

ulimi kuteleza ni kitu cha kawaida kwa kila mwanadamu. na pia kumuongelea mkewe sio jambo la ajabu. hao akina mama waliofyonyza ni wale ambao hawapati mahaba ya dhati kutoka kwa wenzi wao ndio maana waliona wivu kuona mwenzao amepewa ufagio mbele ya kadamnasi.

kwa uhakika sisiemu watashinda Arumeru
 
Vituko na vimbweka vimeendelea kutokea kweny kampeni za pale, Mgombea wa CCM alipopanda jukwaan na kushukuru mkuu wa mkoa wa Arumeru ili hali hakuna mkoa huo tangu kipindi cha wakolon, Vimbweka viliendelea baada ya Bwn SIO kuanza kumsifia mkewe, huku wamama wakisikika wakifyonya nakusema hata wao wana watoto wazuri nakusema hawajaja kumuangalia mkewe bali kusikiliza sera.Awali Mh BWM alipanda jukwaan nakumwaga sera zilizo kuwa na ushawishi mkubwa lakin punde baada ya mwana wa marehemu kupanda jukwaan umati mkubwa wa watu ulianza kuondoka.

Baada tu ya kampen kuisha na mheshimiwa BWM kuondoka wananchi wa Jimbo la Arumeru waishio Usa River walianza kuwazomea wageni wao waliokuwa wameletwa kwa ma land cruiser,mabasi, hadi naondoka eneo la tukio mama mmoja almanusura apigwe vibaya na wafuasi wa CHADEMA baaday ya kuingiza kidole kimoja katikati ya vidole viwili vinavyoashiria nembo ya CHADEMA kama ishara ya kutukana.
Nikiripoti kutoka hapa USA RIVER ni mim Sungura tope
Sioi hakujiandaa kuingia ktk siasa zetu za kibongo! Hii kiti ya ubunge CCM itapigwa mweleka!
 
Sasa hilo mm sijui ataenda kuwakilisha nn mbungeni, kama hajui sehemu anachoenda kugombea ubunge.
 
Huyo Mwigulu aachane na wake za watu yasemkuta yaliyotokea Tunduma Guest ya "kunatana"
 
nimeshuhudia live matukio hayo yote,ni kweli alisema mkoa wa Arumeru lakini labda ulimi uliuliteleza kuhusu mke wake PAMELA EDUWARD Lowassa alijaribu kumnadi mumewe na hiyo inafanyika katika kampeni za vyama vyote tupunguze chuki binafsi sunguratope!

Ifanyike katika kampeni zote isifanyike, ni mazoea mabaya kuona kama waume na wake wa viongozi wetu nao ni viongozi 'ipso facto' ya kuwa wake wa viongozi wakati mwingine wakiwa hawana sifa zinazostahili. Tunaona walio na ngazi hizo wanavyopata taabu kukodoa macho kuangalia midomo ya waongeao kiingereza wakijifanya kuelewa huku ikiwa ni patupu
 
Back
Top Bottom