SIYOI hajui kama Arumeru ni wilaya, aiita Mkoa!

Magwanda wameshikwa pabaya wanatukana kwenye hii nyuzi kama hawana akili vizuri. Dahh, poleni sana.

Hii ndiyo standard bora ya JF? inasikitisha sana kuona moderators wanafungia macho lugha chafu zinazoporomoshwa humu.
 
kuna kabila kabila moja kule singida husema IRAMBA KUBWA KULIKO TANZANIA,WAKIMAANISHA WANAIPENDA WILAYA YAO KWANZA NDIPO WAIPENDE TANZANIA,KWA HIYO SUMARI ANAIPENDA SANA SANA ARUMERU NDIO MAANA ANAIWAZA KILA MAHALI KILA DAKIKA HADI ANATAMANI IWE MKOA
 
Acha kulia lia mtoto wa kike bonyeza kitufe cha REPORT ABUSE.
 
ulimi hauna mfupa,nampongeza siyoi kwa kumtambulisha mke wake wa ndoa

kwa maelekezo ya lowasa sio? alimradi jina lowasa litamkwe eeh! mnitafute baada siku ya wajinga mwaka huu.
 
kuna kabila kabila moja kule singida husema IRAMBA KUBWA KULIKO TANZANIA,WAKIMAANISHA WANAIPENDA WILAYA YAO KWANZA NDIPO WAIPENDE TANZANIA,KWA HIYO SUMARI ANAIPENDA SANA SANA ARUMERU NDIO MAANA ANAIWAZA KILA MAHALI KILA DAKIKA HADI ANATAMANI IWE MKOA

Breaking News: Taarifa zilizotufikia kupitia bandiko hapo juu ni kuwa hojatete ndiye mwigulu nchemba, habari zaidi kufuata.
 
Aisee possible maana akili za huyu hazitofautiani sana eti Iramba ni kubwa kuliko Tanzania.
 
kuna kabila kabila moja kule singida husema IRAMBA KUBWA KULIKO TANZANIA,WAKIMAANISHA WANAIPENDA WILAYA YAO KWANZA NDIPO WAIPENDE TANZANIA,KWA HIYO SUMARI ANAIPENDA SANA SANA ARUMERU NDIO MAANA ANAIWAZA KILA MAHALI KILA DAKIKA HADI ANATAMANI IWE MKOA

huyu hata akeri kwao hapajui labda tumuulize mambo kinondoni na ushog wake labda kutoboa skio na sisi huku hatumchagui kamwe labda waibe kura na tutazilinda
 
Sioi bwaana,jana alikuwa anatetemeka.lowassa hap anataka azalishe ingizo jipya la mafisadi.ingizo la karibuni ni ngeleja,malima,kigwangala hamisi wa nzega na Huyu waziri wa choo
 
Lengo la kumsifia mkeo ikuwa kuwapa ujumbe wanameru kuwa yeye siyo kapera kama Nassari.

hivi hawa viongozi waliooa, iwe kijadi, msikitini au kanisani....wameinufaisha nini nchi hii? ufisadi umekwisha? kujilimbikizia kumekwisha? sijaona faida yake...
 
Kumbe kaoa bana.Sijui kwanini anajiita Sioi

6.jpg
 
Back
Top Bottom